Lijualikali, jua ndio limezama hivyo!

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Kuna habari nyingi kumuhusu Lijuakali alivyokuwa kabla na wakati akiwa mbunge. Kwa ujumla anaoneka ni kijana kutoka kwenye familia zetu hizi za kitanzania, akina sisi tunaosubiri kushehereka maisha msimu wa sikukuu. Sio wale wanaosheherekea kila siku.
Lakini huu si muda wa kujadili maisha binafsi ya mtu.

Nimemsikiliza Mh. Peter Lijuakali akizungumza bungeni, akionekana kuongea kwa uchungu sana hata kumwaga chozi , ingawa baadae alionekana kwenye viyunga vya Dodoma akipata mvinyo huku akichekelea maisha mazuri ya Ubunge.

Ni CHADEMA ndio imempa Ubunge ili awatumikie wananchi wa Kilombero. Kauli hii si nzuri, lakini ndio ukweli. Wabunge wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla wamepata ubunge kwa nguvu za wafuasi na wanachama wa CHADEMA waliopambana ili dola isiwadhurumu ushindi wao uliotokana na kura za wananchi. Si rahisi kwa mpinzani kutangazwa mshindi wa Ubunge au udiwani bila nguvu za wafuasiz hata Kama amepata asilimia 100 ya kura. Hilo si la ubishi.

Ndio maana nasema Ubunge wa Mh. Lijuakali ulitokana na nguvu za CHADEMA na wafuasi wake. Ujumbe huu umfikie na Mh. Silinde na wengine. Sasa wana haki ya kuamua pa kwenda, lakini wasiahau ukweli huo wa wazi.

Kauli za Lijuakali:
Mh. Lijuakali anatangaza bungeni - "Nilifungwa kwa sababu ya Chadema". Lengo lake ni kutaka kuuaminisha umma kwamba alipigania Chadema hata kugharamika kiasi cha kufungwa. Si kweli.

Lijuakali alihukumiwa kwa sababu yupo Chadema, sio kwa sababu ya kupigania Chadema. Mikiki mikiki yote aliyopitia ni kwa sababu ya Ubunge wake kupitia Chadema. Serikali ya CCM kwa kutumia dola ndio iliyomtesa. Bahati mbaya mateso aliyopitia Lijuakali hayajamuongezea ujasiri wa kupambana, bali amedhoofika na kuamua kusalimu amri. Lijuakali akumbuke, waliopigana kumtoa jela ni mawakili wa Chadema, Mh. Tundu Lissu na Mh. Peter Kibatala. Bila hao angekaa jela miezi sita na hivyo kupoteza nafasi ya Ubunge - lengo la CCM.

Lijuakali anadai uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni kama njia ya kuonesha namna ya kujikinga na Corona ulikuwa ni amri ya Mwenyekiti Mbowe. Lakini tumewasikia wabunge wengi zaidi, akiwemo Mh. Esther Bulaya, Mh. Easter Matiko na Mh. John Heche wakisema ni maamuzi ya Chama. Wengi walikubaliana na uamuzi huo, wachache hawakukubali... lakini wengi kati ya hao wachache waliokataa wanafahamika kwa nyendo zao za kuhujumu chama hata kabla ya Corona.

Kuhusu wabunge kuchangia chama, ni suala la katiba ya Chama. Lijuakali analalamika michango wanayotoa wabunge kwa Chama, anadai wanalazimishwa na kwamba kuna ufisadi. Ina maama LIJUAKALI amekuwa mbunge kwa miaka mitano na hajui kama michango ya wanachama kwa Chama ni suala la kikatiba?

Hakumbuki au anajisahaulisha alipopewa nafasi ya kugombea Ubunge wakati hakuwa na kitu mfukoni, ni fedha za Chama zilimpa nguvu? Anadhani zilitoka wapi kama si michango ya waliotangulia? Wakati akina Lissu na Kibatala wanapambana kumtoa jela aliwalipa nini?

Lakini pia, LIJUAKALI anajichanganya sana. Anasema wakihoji kuhusu matumizi mabaya ya fedha za Chama wanapigwa mkwara! Sasa, ina maana TAKUKURU na Ofisi ya CAG wamezidiwa nguvu na viongozi wa Chadema?

Yaani LIJUAKALI anaona uhalifu wa kifedha ndani ya CHADEMA halafu anaishia kulalamika bungeni, kwanini asiende TAKUKURU?
Cha ajabu LIJUAKALI anadai hizo fedha zinazotumiwa kiholela holela zimewekwa kwenye 'fixed amount kwa ajili ya uchaguzi mkuu'; Inakuaje au inatokea vipi fedha zilizopo kwenye fixed account zitumike kiholela?

Hata hivyo, Lijukali anajua; kwa serikali hii ya Magufuli inayopambana usiku na mchana dhidi ya CHADEMA, hata kuwabambikia kesi chungu nzima viongozi wake, Kama kungekuwa na ufisadi huo anaosema Lijuakali, wote wangekuwa ndani. Yeye ni shahidi nambari moja kwenye hili.

Mwisho; kila mtu ana haki ya kuchagua chama cha siasa cha kutumikia. Lakini ni vema kuchagua kwa busara. Ukihama Chama, ni haki yako. Fanya kunadi sera za hicho Chama chako kipya, eleza mazuri na sababu za kujiunga na hiko Chama. Lakini kuzungumza urongo na kukashifu Chama kingine hakukujengi kisiasa. Unaweza kufurahisha mashabiki lakini watu wenye akili timamu wanakuweka kwenye kundi la wanaa, wanafiki na wajinga...

Alamsiki!
.....
Christopher Cyrilo
 
Hongera sana kiongozi kwa kumwaga dhahabu na kama atakuwa na akili basi sasa hivi atakuwa anajutia kitendo chake alicho kifanya hiyo jana.

In God we Trust
 
Acha upumbavu ,isiwe sababu ya yeye kunyanyasika,tafuteni wengine muwanyanyase ,sio Lijualikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People are sidestepping critical underlying issues na kufocuss on trivial issues. Kuna shida kubwa na alichokisema Lijuakali is just a "tip of the iceberg".
 
"Lijuakali anadai uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni kama njia ya kuonesha namna ya kujikinga na Corona ulikuwa ni amri ya Mwenyekiti Mbowe. Lakini tumewasikia wabunge wengi zaidi, akiwemo Mh. Esther Bulaya, Mh. Easter Matiko na Mh. John Heche wakisema ni maamuzi ya Chama. Wengi walikubaliana na uamuzi huo, wachache hawakukubali... lakini wengi kati ya hao wachache waliokataa wanafahamika kwa nyendo zao za kuhujumu chama hata kabla ya Corona."

Ikiwa bulaya,matiko,na heche ndio wengi ukimaanisha wamewakilisha na wale wengine ina maana ni wabunge 15 lakini nashindwa kuelewa imekuwaje wabunge 20 ndio wamekaidi maagizo ya mbowe?
 
People are sidestepping critical underlying issues na kufocuss on trivial issues. Kuna shida kubwa na alichokisema Lijuakali is just a "tip of the iceberg".
Kipi hicho ?

Umewahi kumsikia Lijualikali akilalamikia matumizi ya fedha ndani ya chama akiwa bado mwanachama?

Tatizo kubwa kabisa siasa ya Tanzania inakabiliwa halo ni aina ya wanasiasa tulionao.

Kama taifa tunapaswa tujitafakari juu ya wanasiasa vyama vyetu vinazalisha ni aibu hata kwa taifa kuwa na wanasiasa wa aina hii.
 
Ah ah
IMG-20200519-WA0015.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado David Silinde. Na yeye sijui atakuja na lipi! Ni suala la muda tu. Ila kwa namna upepo unavyovuma, kuna kila dalili na yeye ataunga tu mkono juhudi. Maana bado naye ni kijana, hivyo hatokubali kamwe afe njaa.

Na Ndugai huwa anatoa dakika za kutosha kweli kwa hao Wabunge wa Chadema kujimwambafai! Na anajifanya kuguswa kweli kweli!

Kweli adui yako muombee njaa.
 
Kuna habari nyingi kumuhusu Lijuakali alivyokuwa kabla na wakati akiwa mbunge. Kwa ujumla anaoneka ni kijana kutoka kwenye familia zetu hizi za kitanzania, akina sisi tunaosubiri kushehereka maisha msimu wa sikukuu. Sio wale wanaosheherekea kila siku.
Lakini huu si muda wa kujadili maisha binafsi ya mtu.

Nimemsikiliza Mh. Peter Lijuakali akizungumza bungeni, akionekana kuongea kwa uchungu sana hata kumwaga chozi , ingawa baadae alionekana kwenye viyunga vya Dodoma akipata mvinyo huku akichekelea maisha mazuri ya Ubunge.

Ni CHADEMA ndio imempa Ubunge ili awatumikie wananchi wa Kilombero. Kauli hii si nzuri, lakini ndio ukweli. Wabunge wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla wamepata ubunge kwa nguvu za wafuasi na wanachama wa CHADEMA waliopambana ili dola isiwadhurumu ushindi wao uliotokana na kura za wananchi. Si rahisi kwa mpinzani kutangazwa mshindi wa Ubunge au udiwani bila nguvu za wafuasiz hata Kama amepata asilimia 100 ya kura. Hilo si la ubishi.

Ndio maana nasema Ubunge wa Mh. Lijuakali ulitokana na nguvu za CHADEMA na wafuasi wake. Ujumbe huu umfikie na Mh. Silinde na wengine. Sasa wana haki ya kuamua pa kwenda, lakini wasiahau ukweli huo wa wazi.

Kauli za Lijuakali:
Mh. Lijuakali anatangaza bungeni - "Nilifungwa kwa sababu ya Chadema". Lengo lake ni kutaka kuuaminisha umma kwamba alipigania Chadema hata kugharamika kiasi cha kufungwa. Si kweli.

Lijuakali alihukumiwa kwa sababu yupo Chadema, sio kwa sababu ya kupigania Chadema. Mikiki mikiki yote aliyopitia ni kwa sababu ya Ubunge wake kupitia Chadema. Serikali ya CCM kwa kutumia dola ndio iliyomtesa. Bahati mbaya mateso aliyopitia Lijuakali hayajamuongezea ujasiri wa kupambana, bali amedhoofika na kuamua kusalimu amri. Lijuakali akumbuke, waliopigana kumtoa jela ni mawakili wa Chadema, Mh. Tundu Lissu na Mh. Peter Kibatala. Bila hao angekaa jela miezi sita na hivyo kupoteza nafasi ya Ubunge - lengo la CCM.

Lijuakali anadai uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni kama njia ya kuonesha namna ya kujikinga na Corona ulikuwa ni amri ya Mwenyekiti Mbowe. Lakini tumewasikia wabunge wengi zaidi, akiwemo Mh. Esther Bulaya, Mh. Easter Matiko na Mh. John Heche wakisema ni maamuzi ya Chama. Wengi walikubaliana na uamuzi huo, wachache hawakukubali... lakini wengi kati ya hao wachache waliokataa wanafahamika kwa nyendo zao za kuhujumu chama hata kabla ya Corona.

Kuhusu wabunge kuchangia chama, ni suala la katiba ya Chama. Lijuakali analalamika michango wanayotoa wabunge kwa Chama, anadai wanalazimishwa na kwamba kuna ufisadi. Ina maama LIJUAKALI amekuwa mbunge kwa miaka mitano na hajui kama michango ya wanachama kwa Chama ni suala la kikatiba?

Hakumbuki au anajisahaulisha alipopewa nafasi ya kugombea Ubunge wakati hakuwa na kitu mfukoni, ni fedha za Chama zilimpa nguvu? Anadhani zilitoka wapi kama si michango ya waliotangulia? Wakati akina Lissu na Kibatala wanapambana kumtoa jela aliwalipa nini?

Lakini pia, LIJUAKALI anajichanganya sana. Anasema wakihoji kuhusu matumizi mabaya ya fedha za Chama wanapigwa mkwara! Sasa, ina maana TAKUKURU na Ofisi ya CAG wamezidiwa nguvu na viongozi wa Chadema?

Yaani LIJUAKALI anaona uhalifu wa kifedha ndani ya CHADEMA halafu anaishia kulalamika bungeni, kwanini asiende TAKUKURU?
Cha ajabu LIJUAKALI anadai hizo fedha zinazotumiwa kiholela holela zimewekwa kwenye 'fixed amount kwa ajili ya uchaguzi mkuu'; Inakuaje au inatokea vipi fedha zilizopo kwenye fixed account zitumike kiholela?

Hata hivyo, Lijukali anajua; kwa serikali hii ya Magufuli inayopambana usiku na mchana dhidi ya CHADEMA, hata kuwabambikia kesi chungu nzima viongozi wake, Kama kungekuwa na ufisadi huo anaosema Lijuakali, wote wangekuwa ndani. Yeye ni shahidi nambari moja kwenye hili.

Mwisho; kila mtu ana haki ya kuchagua chama cha siasa cha kutumikia. Lakini ni vema kuchagua kwa busara. Ukihama Chama, ni haki yako. Fanya kunadi sera za hicho Chama chako kipya, eleza mazuri na sababu za kujiunga na hiko Chama. Lakini kuzungumza urongo na kukashifu Chama kingine hakukujengi kisiasa. Unaweza kufurahisha mashabiki lakini watu wenye akili timamu wanakuweka kwenye kundi la wanaa, wanafiki na wajinga...

Alamsiki!
.....
Christopher Cyrilo
MwanakuyaFIND mwana kuyaGET.
 
Back
Top Bottom