Na wewe kwanini usitafite hiyo kickUkitoka jela lazima ukae mwaka mzima Akili kukaa vizuri,
Hawa wanashindana kutafuta kiki!!
Hao ni vichomi tu vinawasumbuaMtoa post ulikuwepo kwenye MAZUNGUMZO nini???
Wao washazoea kudanganya,Kiki zinafanya watu tudanganywe,Why Give people hopes that you exactly know aren't real?
CCM watueleze ukweli watakuwa huru siku zote.
Wewe ulikuwepo walipoahidi watalipa.Mtoa post ulikuwepo kwenye MAZUNGUMZO nini???
Nawewe unasubiri hela za acacia? kazi kweli kweli.Hao ni vichomi tu vinawasumbua
Na wewe unasubiri pesa za acacia, masikini Watanzania.Hivi Magufuli kwanini asiwapige risasi hawa wanaojifanya wasemaji wa hii acacia?
Sasa nimetambua kwa nini CCM walitaka huyu jamaa aendelee kuwa jela
Hilo Lijua Likali limenishangaza sana. Hususan alipotoa mfano wa makosa ya Nyerere, akaongelea vijiji vya ujamaa. Kwanini asiongelee mikataba ya madini wakati wa Nyerere?
Kama haelewi apitie kumbukumbu za mikataba ya Almasi huko Mwadui ya wakati wa Nyerere.