Lijualikali: Acacia hawajakubali kulipa, magufuli anatudanganya

Kwa mfumo wa nchi yetu hivi sasa unatumika ule mfumo wa hadithi ya Mfalme mbabe na mkali kupita kiasi ambaye yuko uchi, lakini wananchi kwa hofu wwanaogopa kumwambia Mfalme uko uchi, badala yake wanamdanganya na kumwanbia Mfalme kwa hilo vazi lako ulilolivaa unapendeza sana!

Hivi ni nani hapa TZ katika viongozi wa ngazi za juu mwenye uthubutu wa kumwambia Mkulu kuwa antembea akiwa mtupu?
 
Kiki zinafanya watu tudanganywe,Why Give people hopes that you exactly know aren't real?
CCM watueleze ukweli watakuwa huru siku zote.
 
Hivi Magufuli kwanini asiwapige risasi hawa wanaojifanya wasemaji wa hii acacia?
 
Hilo Lijua Likali limenishangaza sana. Hususan alipotoa mfano wa makosa ya Nyerere, akaongelea vijiji vya ujamaa. Kwanini asiongelee mikataba ya madini wakati wa Nyerere?

Kama haelewi apitie kumbukumbu za mikataba ya Almasi huko Mwadui ya wakati wa Nyerere.

Kama haelewi kuhusu vijiji vya ujamaa, aelewe kuwa kuna wana JF wanaelezea kuwa ilikuwa ni jinai, apitie hapa: Kwa hili nyerere unayakujibu the hague
 
Hilo Lijua Likali limenishangaza sana. Hususan alipotoa mfano wa makosa ya Nyerere, akaongelea vijiji vya ujamaa. Kwanini asiongelee mikataba ya madini wakati wa Nyerere?

Kama haelewi apitie kumbukumbu za mikataba ya Almasi huko Mwadui ya wakati wa Nyerere.

Na wewe mwalimu wa Kiswahili unasubiri Noah?
 
Back
Top Bottom