Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata