Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90

KIKOSI Cha Young Africans SC vs Namungo FC, Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, (NBC Premier League) leo Jumamosi November 20,2021 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi.

1: Djigui Diarra
2: Shabaan Djuma
3: Kibwana Shomari
4: Dickson Job
5: Bakari Nondo (C)
6: Tonombe Mukoko
7: Jesus Moloko
8: Yannick Bangala
9: Fiston Mayele
10: Feisal Salum
11: Farid Mussa

Wachezaji wa Akiba
12:Eric Johora
13:Brayson David
14:Abdalah Shaibu
15: Deus Kaseke
16: Yassin Mustafa
17:Zawadi Mauya
18:Yusuf Athuman
19:Heritier Makambo
20:Saido Ntibanzokiza

Kikosi Cha Namungo FC vs Young Africans SC
namungofcpCWf0XczKm0Q1-696x804.jpg

====

UPDATES:

======

FT: Namungo 1-1 Yanga

⚽️ Aubrey Chirwa 52’

⚽️Saidi Ntibazonkiza 82’

Kwa mara ya 5 hamna mbabe kati ya Namungo na Yanga.
 
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90
..Bangala anampa..Mukoko..Mukoko..kwa Djuma shaban 'soja ya bhemba'..Fei toto..anampa FM Kalala ...Kalala kwa FM maliki..Faridi kwa Moloko..Moloko kwa Kibwana..Fei toto..goooooooooaaaaal..

Fei toto..totooo..anapiga semi volley ya hatari hapa,Na kuwapa uongozi wananchi..

Anyways!! Nilikua na test mitambo in Mpenja voice..

Kila la kheri chama langu katika kampeni ya kuchukua point 3 kila mechi pamoja na kutoa burudani kwa wana lindi.

Naimani tutashinda Inshallaaah!!.
 
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90
Sijawahi kuwaona kwenye mahakama ya mafisadi kwenye kesi ya MBOWE
 
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90
Sio majaliwa Stadium ni ILULU Lindi
 
Back
Top Bottom