Ligi zinaisha: Ni kipi kilikugusa sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ligi zinaisha: Ni kipi kilikugusa sana?

Discussion in 'Sports' started by RR, May 16, 2009.

 1. RR

  RR JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Wakuu hivi sasa ligi za soka (2008/09) zinaelekea ukingoni (ya kwetu Bongo ilishaisha)....
  Hebu tuchukue muda kidogo na kujikumbusha matukio muhimu yaliyokugusa binafsi....namaanisha labda ulifurahia sana, ama ulihuzunika sana ama chochote unachoona kiligusa hisia zake kuliko vingine.

  Mimi nitaanza hivi

  1. Mechi ya Man vs Liva....Man U ilikua juu kupita maelezo hadi ilipofungwa na Liver bao nyingi, kisha ndani ya OT...kama mnazi wa Man U nilifadhaika sana (to be frank nilifikiri Man ingeshinda), kisha nilipata sms/simu kibao za kunibeza! :(
  2. Mechi ya kwanza ya Man na New Castle...iliisha 1-1....NC walisumbua sana...kwa kuangalia mechi ile, nilidhani NC wangemaliza kwenye kumi bora, lakini sasa wanahangaika kukwepa relegation.
  3. Mechi ya Man U vs Bluz....Bluz walikula kichapo 3-0! :D
  4. Mechi ya pili Arsenal vs Man U (UCL semifinal) ...... :D :D :D
  Naomba mwenye hisia na kumbukumbu zake aweke hapa...ligi au mashindano yoyote ya soka!
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Tulianza ligi kwa kuchemea na game za mwanzo Daren Fletcher ndiye alikuwa anatuokoa
  Game ya Hull City niliomba iishe mapema tuliongoza 4-1 game ikaisha 4-3
  Kipigo tulichowapa Chelsea,Aston Villa na Spurs ndio ulikuwa ushindi bora
  Kipigo kikali tulichpata masimu huu kutoka kwa Liverpol kilikuwa kibaya mno msimu huu
  Liverpool waatajialaumu sana msimu huu ulikuwa wao but wameshachelewa
   
 3. Y

  YE JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hamna kingine zaidi ya kuweka historia leo hii...tume - tie na liverpool kwa vikombe vingi vya league.....who ever thought that....GO MANU!
   
 4. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  To be honest season hii imekuwa na kila ya aina ya changamoto, ila two/three matches worth mentioning for me...

  1. Come back ya Aston Villa, 3-2..!

  2. Come back ya Manutd na Tottenham (5-2), that was awesome meeeeen!

  3. Obvious kuwageuza nje ndani Ze Goonarz ilikuwa buuurudaniiii!

  NB; Ya nne nitaipost Alhamisi asubuhi, i mean thursday ya Tarehe 28.

  United for life..United till my last breath..Go united..!
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Hii ndio my TEAM OF THE SEASON
  1. Edwin Van Der Sar-Man United
  2. Glen Johnson-Portsmouth
  3. Leighton Baines-Everton
  4. Mathew Upson-West Ham United
  5. Nemanja Vidic-Man United
  6. Xabi Alonso-Liverpool
  7. Aron Lennon-Totenham Hotspurs
  8. Frank Lampard-Chelsea
  9. Fernando Torres-Liverpool
  10. Steven Gerrard-Liverpool
  11. Christiano Ronaldo-Man United
   
 6. senator

  senator JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Game ya FA Everton Vs MAN UTd Ile game nilijua inakwisha within 90minutes lakini nikaja huzunika zaidi tulipotoka na kufuta ndoto ya kupata vikombe vinne kuweka historia na heshima ndani Ya UK...Iliniuma sana alipokuwa anakwenda kupiga Penalti Rio dah siwezi isahau ile siku!!
   
 7. shakidy

  shakidy Member

  #7
  May 19, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Game hiyo ilikuwa tamu si mchezo. watoto wale washenzi kweli, ilipigwa migongeo kumi na saba (17) wa kumi na nane van de sar aligeuka kuokota mpira nyavuni. WENGI WENU HAPA JUU HAMTAKI KUKUMBUKA.
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  GAme ipi hiyo? Hapo juu nilikuwa nazungumzia Semi Final ya FA
   
 9. shakidy

  shakidy Member

  #9
  May 19, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  GAME ya arse vs man u. samir nasri alipiga mbili. bao la pili mnalikumbuka lilivyopatikana?
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2009
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160

  Hapa ni mende aliangusha kabati (lazima mende afurahi sana):)!

  Mbu, KKN, Ab etc hebu wekeni hisia zenu za msimu huu
   
 11. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu naomba nitofautiane na wewe kidogo;
  Tatu kwangu nitampa Patrice Evra, the boy has been damn on form this season despite kucheza mechi nyingi Manutd kuliko wote.

  Then i will go for Jageika wa Everton badala ya Upson, then dimba dogo katikati nitampa priority Mascherano bidala ya Alonso,na badala ya Lennon nitampanga Agbanalohor (?).

  Ni mtazamo tu.
   
 12. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uyo niyem-highlite siku hizi soka kaacha anadai, mcheki nyumbani kwake (International Forum), anapatikana 24/7.

  BTW; Watajwa hapo juu kuna mechi Jumapili na Hull City, mnaomba kuisaidia Manutd (sisi tuko safarini Rome kuchukua kombe letu la NNE)
   
 13. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Mbona mashabiki wa Chelsea,Liverpool,Arsenal,Newcastle et al hawatoi maoni yao?
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2009
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Jamaa bado yupo, ushabiki wa mpira hauchiki kirahisi.....

  I hate Wednesday 27 '09
  .....:confused:
   
 15. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #15
  May 28, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Manda na Roya Roy,

  Hahahaha!!!..naona bado m'nami tu.Nipo nipo aisee na
  baada ya zegere la jana nikajua mtapata uchungu kama
  tulivyopata sie the day The Catalans were favored by the
  refs.Nd'o ngoma ilivyo wakuu na hebu muugue pole basi.

  Meanwhile kilichonigusa msimu huu ni how kemu mlichukua
  ubingwa wa ligi when Liverpool was a front runner?..Mna
  mizizi nyie watu??????

  Nipo nipo tu wajomba na tuzidi!...:)
   
 16. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #16
  May 28, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii nilijua utaitundika tu ili kutubeza lakini hamna noma!
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2009
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Nothing personal ....believe me!
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  May 28, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Got you bro...:)
   
 19. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Game iliyoniuma sana ni baina yetu na watani Yanga, gemu ilikuwa ndo hyo kizani na mie nimekaa na uhakika kwamba hawa wetu, dah! JERYSON TEGETE' alinikata maini ckuwa na raha wiki nzima! na pili Chelsea anashinda 3-1 Kwa Liverpool, dat woz a game 2 rem.
  09 BEST PLAYERS ARE:-
  1. EDWIN VAN
  2.RIC' CARVALHO 3.SERG. RAMOS
  4.RIO FERDNAND
  5. JOHN TERRY
  6. YAYA TOURE
  7. FRANK RIBERY
  8. HARUNA MOSHI
  9.VEDADIBSEVIC
  10.STEVE GERARD
  11.M. CHAMARKH
   
 20. k

  kirway masuka Member

  #20
  May 30, 2013
  Joined: May 9, 2013
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ki2 gani kimetokea bungeni leo?
   
Loading...