alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,679
- 12,128
Nalikumbuka, lilikuwa linanesanesa,hatari ile mashine..Miaka ya nyuma kuna kiswele moja ilikuwa na injini nyuma tulitoka nayo songea saa 12 asubui saa tisa kasoro tupo dar zile chuma zilikuwa zinatembea hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app