Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Yaani. Najua ingekuwa furaha sana kwenu.

Hiyo ya Simba na Yanga huwa haitabiriki na si ajabu tukawakalisha.
Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma, now mambo yamebadilika,miaka ya nyuma vikosi vya yanga na simba vilikuwa vinapishana kidogo sana kiuwezo, ndo maana ilikuwa ngumu sana ku predicts nani ana win game! Now yanga akicheza na simba, simba anaonekana mwenye asilimia nyingi za ku win game kutokana na kikosi alichonacho.
 
Oooh. Basi sawa Mkuu.

Ila uwe karibu siku hiyo.
 
Poleni Timu ya Yanga. Pia mimi ni mshabiki wa Yanga lakini tayari mmeanza kupoteza mwelekeo. Nilidhani usajili wenu ulikuwa wa Kamataifa kumbe sivyo. Karibu mfungwe na Polisi ni ajabu sana. Nimewasikitikia sana. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom