Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Yaani mdogo wangu kwa ulichoandika nimebaki nacheka tu.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Huu uzalendo wako ni wa kuigwa kabisa.

Nimecheka sana ulivyojitapa mwanzoni ila ukaishia kuambulia sare, tena kwa kuwatupia lawama baadhi ya wachezaji
 
Huu uzalendo wako ni wa kuigwa kabisa.
Yaani acha tu mdogo wangu. Kwa timu ya Wananchi huwa sitetereki nipogo nayo tu.
Nimecheka sana ulivyojitapa mwanzoni ila ukaishia kuambulia sare, tena kwa kuwatupia lawama baadhi ya wachezaji
😂😂😂😂 unajua nini mdogo wangu saa nyingine wachezaji ndio wanatuangusha.
 
Back
Top Bottom