Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Kheri ya mwaka mpya wakuu,
Nimekuwa mfuatiliaji wa ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL kwa muda sasa, nimeshuhudia wachezaji wa kila aina wakicheza na kustafu soka rangi tofauti blacks and whites.
Lakini sijawahi kubahatika kuona mwamuzi wa mpira wa miguu wa kati katika ligi hii pendwa dunia kote akichezesha mechi yoyote ile, sijajua tatizo ni nini ilhali nchi ya Uingereza inamchanganyiko na watu weusi ni wengi tu.
Wajuzi wa mambo nifumbueni hapa inakuaje hakuna referee mweusi EPL na ligi nyingine pia kama Serie A Laliga etc.