Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 19, 2019: African Lyon 0 - 3 Simba SC

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuendele na safari ya ligi kuu kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia dimbani bila Chama, Okwi na Meddie Kagere.

Filimbi kupulizwa saa 10 Alasiri
====

45 zinakamilika zinaongezwa dakika 4


Dakika 40+4 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika 40+3 Lyon wanaanza safari kwa Manula
Dakika ya 40+2 Simba wanaanza mashambulizi kwa Lyon
Dakika ya 40+1 mashambulizi Lyon kwenda kwa Lyon.

Dakika ya 45 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika ya 44 Niyonzima, Gyan,Bocco mlinda mlango anatema Salamba anamalizia na kukimbilia kwa mwalimu wake wa viungo.
Dakika ya 43, Niyonzima, Bocco, Juma, Salamba anaotea akiwa amepasiha mawinguni mpira.

Dakika ya 42 Rashid anapaka rangi mpia akiwa eneo la hatari mabeki wanaizuia, Gyan , Niyozima anaenyeza ndani mabeki wanaokoa.

Dakika ya 41 Lyon wanapasiha mawinguni mpira kwa Manula, Yassin anapeleka pasi mbele inayomkuta Salamba anazidiwa maarifa na mabeki wa Lyon.

Dakika ya 40 Niyonzima anapoteza pasi akiwa karbu na eneo la hatari.
Dakika ya 39 Salamba anacheza rafu kwa mchezaji wa Lyon.
Dakika ya 38 Dilunga anapoteza mpira ndani ya box

Dakika ya 37 Gyan anatoa Boco, Lyon wanaanza kisha wanapoteza kwa Simba, wanafanikiwa kuupata na kupiga shuti linaishia kwa Manula.

Dakika ya 35 mchezaji wa Lyon yupo chini akipewa huduma ya kwanza pamoja na mlinda mlango

Dakika ya 34 Lyon wanaanza safari kwa Manula, Kwasi anaopata mpira na kuanza safari kwa Lyon mlinda mlango anaukamata.

Dakika ya 33 Lyon wnaanza safari nyingine kwa Manula, Gyan anarusha na safari kwenda Lyon inaanza mabeki wanaanua hatari, Lyon wanawatingisha Simba mabeki wanaanua.

Dakika ya 32 Lyon wanaanza safari kwenda kwa Manula.

Dakika ya 31 Boco analazimisha kuingia eneo la hatari anazuiliwa

Dakika ya 29 Lyon wanamfuata Manula

Lyon 0-1 Simba
Uwanja Amri Abeid Arusha

Bocco anafunga bao la penalti dakika ya 28 kwa mguu wa kulia.

Dakika ya 25 Niyonzima anapiga faulo inaonolewa eneo la hatari, Wawa anarudisha ndani mchezaji wa Lyon ananawa mpira.

Dakika ya 24 mchezaji wa Lyon anamchezea rafu Rashid Juma.
Dakika ya 24 Rashid Juma anapiga kicha kinachoishia mikononi mwa minda mlango wa Lyon.

Dakika ya 22 Niyonzima anapata majeraha kwenye mguu wa kulia anapewa huduma ya kwanza.

Dakika ya 21 Niyonzima aamchezea faulo mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 21 Lyon wanafanya shambulizi kwa Manula.

Dakika ya 21 Rashid Juma anapoteza mpira akiwa eneo la hatari.

Dakika ya 20 Mzamiru anaondosha eneo la hatari mpira

Dakika ya 19 Gyan anapaisha Mawinguni mpira

Dakika ya 18 Niynzima anapeleka mashambulizi kwa Lyon.

Dakika ya 17 Lyon wanaanza safari kwenda kwa Manula.

Dakika ya 16 Niyonzima anaunawa mpira unapigwa na mlinda mlango wa Lyon.

Dakika ya 15 bukaba anamchezea rafu mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 14 Simba wanakosa bao la wazi.

Dakika ya 14 Mzamiru anapeleka mashambulizi mbele.

Dakika ya 13 Lyon wanafanya mashabulizi kwa Manula.

Dakika ya 12 Lyon wanapaisha mpira mawinguni kwa Manula.

Dakika ya 11 Kwasi anamchezea rafu mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 11 Simba wanapoteza mpira eneo la Lyon

Dakika ya 9 Niyonzima anapiga pasi inayoishia kwa mlinda mlango wa Lyon.

Dakika ya 08 Simba wanaotea tena

Dakika ya 7 Lyon walifanya shambulizi kwa Manula.

Dakika ya 6 Niyonzima alifunga bao ikiwa ni offside ya kwanza kwa Simba.

Dakika ya 5 Dilunga anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon

Dakika ya 4 Lyon wanakosa nafasi ya wazi kwa Manula.

Dakika ya 3 Lyon wanaanza kumfuata Manula

Dakika ya 2 Kwasi anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 2 Gyan anapeeka mashambulizi Lyon.

Dakika ya 1 Mzamiru Yassin anamtafuta Bocco unakwenda nje ya lango.
 
Kilalaheri Myama.
simba-sc-logo-1D27A871B5-seeklogo.com.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo viporo vyote ni salama. Hawa Lyon si ndo wamedhaminiwa na TANAPA, mizoga huwa haihifadhiwi kwenye jokofu. Lyon ni simba wa mbugani,hawalishwi mizoga
 
Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuanza safari ya kupunguza idadi ya viporo kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia dimbani bila Chama, Okwi na Meddie Kagere.

Filimbi kupulizwa saa 10 Alasiri
Usitudanganye, hicho siyo kiporo, Africa Lyon alishacheza na Simba mechi ya kwanza. Hii ya Leo no ya pili.
 
Kikosi cha Leo
Aishi Manula
2. Nicholas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Paul Bukaba
5. Pascal Wawa
6. Mzamiru Yassin
7. Rashid Juma
8. Hassan Dilunga
9. John Bocco
10. Adam Salamba
11.Haruna Niyonzima

Kikosi cha akiba

1. Deogratius Munish
2. Yusuf Mlipili
3. James Kotei
4. Jonas Mkude
5. Abdul Suleiman
6. Mohamed Hussen
7. Mohamed Ibrahim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuendele na safari ya ligi kuu kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia dimbani bila Chama, Okwi na Meddie Kagere.

Filimbi kupulizwa saa 10 Alasiri
====

Lyon 0-2 Simba
Uwanja Amri Abeid Arusha

Bocco anafunga bao la penalti dakika ya 28 kwa mguu wa kulia.

Dakika ya 25 Niyonzima anapiga faulo inaonolewa eneo la hatari, Wawa anarudisha ndani mchezaji wa Lyon ananawa mpira.

Dakika ya 24 mchezaji wa Lyon anamchezea rafu Rashid Juma.
Dakika ya 24 Rashid Juma anapiga kicha kinachoishia mikononi mwa minda mlango wa Lyon.

Dakika ya 22 Niyonzima anapata majeraha kwenye mguu wa kulia anapewa huduma ya kwanza.

Dakika ya 21 Niyonzima aamchezea faulo mchezaji wa Lyon.

Dakika ya 21 Lyon wanafanya shambulizi kwa Manula.

Dakika ya 21 Rashid Juma anapoteza mpira akiwa eneo la hatari.

Dakika ya 20 Mzamiru anaondosha eneo la hata
 
Back
Top Bottom