Kilichobakia kwa sasa wailete tu hiyo Barcelona icheze na Simba lakini kwa Vigenge hivi vya Tanzania kina Ndala Simba anavinyanyasa tu.
Mpira umeshaisha
Kweli kabisa. Lakini kwa Mchina ndiye aliyesababisha watu wa bwawani wanune kwa kutoa Krosi iliyofanyiwa kazi na Kagere!!Viwanja vibovu wajiandae na boko. Ndio viwanja vyake.
Duh umetabiri vizuri mkuuViwanja vibovu wajiandae na boko. Ndio viwanja vyake.
Ndio uzuri wa timu kubwa kuchangia timu ndogo.Naona simba inaendelea kuzichangia timu za ligi kuu kwa mapato ya uwanjani kwa kujaza watu.
Si wana Mgoma na Chirwa? Kulikoni?Azam ina shida gani wadau
Tatizo ni kwamba hao ili wacheze vizur wanahitaji ushirikiano kutoka kwa wachezaji wengineSi wana Mgoma na Chirwa? Kulikoni?
Ngoja sisi tukawazike kabisa.