OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
TFF mko wapi. Mpeni Simba chake
na EPL nao watugee Liverpool ndoo yetu fasta!!
Mteremko gani? Wa kanuni sio, maana kama ni uwanjani simba tayari ni bingwa. Halafu hizo kanuni wewe mwenyewe huzijui sasa kwa nini unasema mnyama anapenda mteremko?Wao kanuni za ligi zinasema
"Endapo ligi itasimama na itashindwa kuendelea kwa sababu yoyote ile, na timu zote zikiwa zimeshacheza mechi zote za mzunguko wa kwanza, timu inayoongoza ligi itatangazwa bingwa"
Kanuni za ligi ya VPL zinasemaje kuhusu ligi yetu kutoendelea
Acheni kupenda vya mteremko nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi bado haijaisha, hakuna ubingwa wa dezo mpaka ligi iishe!Mteremko gani? Wa kanuni sio, maana kama ni uwanjani simba tayari ni bingwa. Halafu hizo kanuni wewe mwenyewe huzijui sasa kwa nini unasema mnyama anapenda mteremko?
Mteremko gani? Wa kanuni sio, maana kama ni uwanjani simba tayari ni bingwa. Halafu hizo kanuni wewe mwenyewe huzijui sasa kwa nini unasema mnyama anapenda mteremko?
Timu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.Simba bingwa wa nini? Points zake haiwezi kufikiwa na timu yoyote kwa sasa?
Sibahatishi na nina uhakika kwamba kanuni za VPL zimekaa kimya kuhusu nani awe bingwa kwa mazingira kama haya yaliyojitokeza ya ligi kutoendelea
Kwenye ligi ya Kenya kanuni zinatoa mwanya wa Gormahia kutangaza bingwa
Acheni kupenda mteremko nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako lakini kanuni zikiruhusu bingwa kutangazwa,atatangazwa tu.
Mapendekezo yako ni yapi? ila kumbuka yule ambaye matumaini yake ni FA ili awakilishe kimataifa ligi ikifutwa atakuwa amepata mteremko.Simba bingwa wa nini? Points zake haiwezi kufikiwa na timu yoyote kwa sasa?
Sibahatishi na nina uhakika kwamba kanuni za VPL zimekaa kimya kuhusu nani awe bingwa kwa mazingira kama haya yaliyojitokeza ya ligi kutoendelea
Kwenye ligi ya Kenya kanuni zinatoa mwanya wa Gormahia kutangaza bingwa
Acheni kupenda mteremko nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kupenda kitonga mkuu itakuponza, toka jasho hadi mwisho upate vya halaliMteremko gani? Wa kanuni sio, maana kama ni uwanjani simba tayari ni bingwa. Halafu hizo kanuni wewe mwenyewe huzijui sasa kwa nini unasema mnyama anapenda mteremko?
Utopolo fc inawauma sana hoja kama hiiTimu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.
Mwenye point nyingi atangazwe bingwa.
Timu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.
Mwenye point nyingi atangazwe bingwa.
Mapendekezo yako ni yapi? ila kumbuka yule ambaye matumaini yake ni FA ili awakilishe kimataifa ligi ikifutwa atakuwa amepata mteremko.
Timu pinzani isipotokea uwanjani sheria inasemaje?Timu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.
Mwenye point nyingi atangazwe bingwa.
Kanuni zinasemaje mkuu?Wacha kupenda kitonga mkuu itakuponza, toka jasho hadi mwisho upate vya halali
Ahsante kwa mapendekezo yako ila kama kuna kanuni za kumtangaza bingwa kwa mazingira kama haya huo sio mteremko.Mapendekezo yangu ni
Ligi imaliziwe
Mazingira yakiwa sio rafiki
Ligi ifutwe
Maana kwa mujibu wa Kanuni bingwa anapatikana baada kila timu kucheza na kila timu nyumbani na ugenini na anayemaliza mechi zote akiwa na alama nyingi zaidi ndio anakuwa bingwa
Sent using Jamii Forums mobile app