Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Ruvu hata droo tu inatosha.
#Muosha huoshwa.
Screenshot_20190828-165020.jpeg
 
Uwezo wa makambo ulikua ni wa hali ya juu sana.

Sasa ndio naliona hilo
 
Mpira ni dk 90! Kama mbumbumbu fc waliweza kusawazisha goli dk ya 86 baada ya kuhenyeshwa mwanzo mwisho na ud songo, itashindwaje timu ya wananchi kusawazisha hako kagoli na kuongeza nyingine kipindi cha pili?

Ngoja aingie Anko muone.
 
Golikipa wa Ruvu Shooting amekuwa ni nuksi kuliko wa kwetu. Kwa hilo nampa hongera ingawa nina uhakika kipindi cha pili atakubali kutuachia walau vigoli viwili.
 
Tumshukuru tu mwamuzi wa pembeni Janeth Balama kwa kulikataa goli la pili ambalo ukiangalia marudio, mfungaji hakuwa kwenye nafasi ya kuotea.

Ukweli mchungu, timu yetu ina washambuliaji butu! Hawana macho ya kufunga kabisa. Halafu mwalimu ndiyo anawaamini usipime! Sijui itachukua muda gani hadi wafikie kiwango cha Herittier Makambo!
 
nilijua tuuu hasira za mikia kutolewa na wale watoto wa 'mchumbiji' zitaishia kwetu, onaa sasa wameisha mchana noti mwamuzi ili tukionee cha mtema kuni...haisaidiiiii ukweli unabaki pale paleee
 
Tumshukuru tu mwamuzi wa pembeni Janeth Balama kwa kulikataa goli la pili ambalo ukiangalia marudio, mfungaji hakuwa kwenye nafasi ya kuotea.

Ukweli mchungu, timu yetu ina washambuliaji butu! Hawana macho ya kufunga kabisa. Halafu mwalimu ndiyo anawaamini usipime! Sijui itachukua muda gani hadi wafikie kiwango cha Herittier Makambo!
Yule makambo hakuwa mtu wa kawaida yule

Jamaa nimeamini anajua,kucheza na wachezaji wale na bado akawa anaweka magoli hakikaa yule alikua fundi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom