SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,348
- 1,992
Wameanza rasmi kuitafuta namba 3 yao. All the best ninyi!
Na nyie mliozoea namba moja naona mmeshaishika, kama kawaida yenu mtuambie kabisaa mkishinda mechi ngapi vile inakuwa ndio basi tena.
Halafu kile kiapo chenu bado kinaishi? Eti "mbele daima, nyuma mwiko". Mmh hapo mmedanganya, si mseme tu makalio maana nijuavyo mimi mwiko unatumika jikoniii.
BTW; _Ni uchokozi tu jamani wala sio shabiki wao mimi.