Ligi inge isha hivi sijui ningefurahije jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,721
21,778
NATAMANI KUSIKIA LIGI IMEISHA YA TANZANIA BARA KWA MSIMAMO HUU JAMANI SIJUI MAONI YENU
tff.jpg
 
Ha ha haa. Ina maana YeboYebo wangekuwa wameshuka daraja! Ngoja wapigwe tena leo na Mtibwa waendelee kuburuza mkia.
 
simba na yanga zina ua soka la bongo

mpaka zitakapo vunjwa ndipo soka la bongo litabadilika? something which next to impossible, maana zimekaa kisiasa mno na hata wapenzi wake ni vivyo hivyo
 
soka ni TFF haina utalaam wakuendesha soka ndo maana hat ligi yetu mbovu
 
Back
Top Bottom