Lifestyle Bloggers wanahitajika

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Location: Anywhere
Work can be done remotely
Job Type: Freelance
Category: Blog / Article Writing
Company Type: Small Business

Description:
Hiring Multiple

Looking to add more writers to the staff of our lifestyle website. We currently have 2 great writers, would love to get to 3. This is a lifestyle site covering dating, travel, food, automotive, and more. If you have some great sample work, can create EXTRA-ORDINARY content, and are looking to contribute regularly please get in touch!

We offer Tsh10,000/= per 300-500 word post, and require original or high-quality sourced images. We would like bi-monthly contributions or more. Anything lifestyle related is welcome. We are most interested in regular contributors who can be with the site for more than just a few posts. We are WordPress hosted, so familiarity with the WP backend would be helpful.
NOTE: All genders welcome to write for us.

Please have writing samples ready. Send your Samples to info@mtokambali.com
 
Bongo anaendika life style articles ni wale wenye passion ukitak muajiri mtu heri hiyo hela bora unywe supu aisee
 
Ha ha ha haa Badilika basi na Upepo maana Bongo KILA MTU mdaku
Mkuu kwahiyo ninachokiandika siyo lazima niwe nimesomea wala kuweka source, yaani ninaweza kuandikia experience yangu mwenyewe?

Nikizidisha maneno na pesa nayo itazidi?

Sample ambayo ofisi yenu inakubaliana nayo mnataka iwe kwenye format gani?

Kama lifestyle umemaanisha mpaka bodybuilding naomba uangalie threads zangu juu ya bodybuilding na uone kama zinaweza kufaa kwenye ofisi yenu.

Click username ya Castr, kwenye posts, kuna threads nimezungumzia bodybuilding.
 
Mkuu nmeipitia na nazidi kuzipitia na nmekutumia Ujumbe Pm
 
Hi web iko vzr lakin kupata sponsor hapo ni ngumu kukikiii kibongo bongo ni ndoto za alfulela olela kama unatak pesa wachana na hiii kitu haina trending kibongo bongo
 
Hi web iko vzr lakin kupata sponsor hapo ni ngumu kukikiii kibongo bongo ni ndoto za alfulela olela kama unatak pesa wachana na hiii kitu haina trending kibongo bongo
I have been in this Nich for almost 4years Now na Nmeona mengi mno. I know what am I doing maana kila siku nazidi kukua. Na siwezi katishwa tamaa kwa sasa na Ingekua hivyo basi Jack Ma angeishia kuwa mtu wa chini ila Leo Hii unaitumia Alibaba kuagiza mzigo China kwa sababu yake.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom