Life without stress.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,371
2,000
bibi%2Bna%2Bbabu.jpg


Source:Mjengwa.

Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?
 

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani.

kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,371
2,000
kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbaliNa ukiwauliza matarajio yao kwa siku za usoni si ajabu wakakujibu "nitafurahi sana mjukuu wangu yule anayemaliza la saba mwaka huu akiolewa na mwalimu".
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,071
2,000
bibi%2Bna%2Bbabu.jpg


Source:Mjengwa.

Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?

Hawa ni wanyalukolo wa Iringa wanafurahia ushindi wa chadema dhidi ya ccm hapo Iringa mjini ; wapo sehemu za Kihesa wanabwia ULANZI!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom