Life unfolds...Rachel Dolezal, Mzungu mweusi mwenye bahati mbaya

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,445
Rachel Anne Dolezal ni mwanamke wa kizungu aliyezaliwa mnamo 12 Novemba, 1977) ambaye anajiita kuwa mtu mweusi. ni Mmrekani mwanaharakati wa haki za kiraia. amewahi kuwa mukufunzi katika taaisis mbalimbali nchini marekani ikiwemo African studies na Human right education institute. Amewahi kushika nyazifa ya Urais wa Chama cha National Association for the Advancement of Colored People (NAACP) kutoka 2014 hadi Juni 15, 2015. cha kushangaza ni jinsi maisha yalivyokuwa cruel to her, amekuwa mwalimu, Mwanaharakati na Rais wa chama cha NAACP lakini ameishia kuwa msusi wa saloon.

Moral Lesson: "Bad luck happen in life- Never give up"

_83676764_rachel-dolezal-wedding-super-169.jpg


rachel-dolezal-not-black.jpg


woman-getting-hair-braided-texas-lawmakers-getty-compressed.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom