Life is about living,free spirit stress free mambo ya ujenzi Mmwachie mume

Unacheka! Mwenza akileta mbwembwe unamkumbusha tu mlikotoka anakuwa mpoleee. Umempenda hamiliki hata godoro, ana vip moja, soksi pair 2 na moja imetoboka, sarawili moja na.mashati 2. Ukimuambia twende kwa ba mdogo anauliza wana carpet? Lazma akuogope.
hahahahahaaaaaaa
 
Waambie tu hiyo nyumba ya mrs rutherford iko holywood! Wapaishe mamaa
Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu
 
Unacheka! Mwenza akileta mbwembwe unamkumbusha tu mlikotoka anakuwa mpoleee. Umempenda hamiliki hata godoro, ana vip moja, soksi pair 2 na moja imetoboka, sarawili moja na.mashati 2. Ukimuambia twende kwa ba mdogo anauliza wana carpet? Lazma akuogope.

kuanza wote kuna raha yzke, hakuna kubabaishana lakini zaidi mnafurahia matunda yenu pamoja na mnathaminiana zaidi.....
 
Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu

nawashukuru sana wazazi wangu walionifundisha kuwa mali walizonazo ni zao na mie napaswa kutafuta zangu.......

Ni aibu sana kwa binti wa zaidi ya miaka 30 kujinadi mtandaoni kuwa ana mali kadha wa kadha ambazo ni za wazee wake.... Yeye mwenyewe hajui hata bei ya mfuko wa cement...its a shame
 
Awe na miaka 30 atambe? Kala chumvi huyu mie tu najidai kukomazwa na shida ila anastahili shkamoo yangu asubuhi na jioni. Anakimbilia 40 huyu.
Lol, mamangu alikuwa anapiga marufuku kumuagiza maid anasema huyu ni maid WANGU sio WETU. Ama tupokezane kumlipa salary? Namshukuru sana aisee, hizi akili za kurumangia mmmh!

Kongosho bhana majibu yako leo hayajanifurahisha mpe muke ya mzungu majibu yanayomstahili
 
Last edited by a moderator:
Natalia hivi una pacha mwenzako??au ni wee??
Embu tuambie chuo ulisoma wapi??unatabia kama za dada mmoja wakat tunasoma chuo halafu bayaaaa kama nini hana sura,hana shepu,hana mguu,hana nywele,(hata mashine inaelekea mbovu maana alikuwa anagongwa ovyo na masela ila hakuna hata 1 aliyeganda)hana mkwanja+hatongozwi
ila kwa mashauzi anaongoza
ila usije ukawa wewe maana maneno ni kama naongea na yeye
embu tuambie ulisoma wapi??
Ooo nimekumbuka kumbe wewe ni kibibi nilijua wewe ni agemate yangu looo
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaa! Umenikumbusha mbalii kinoma na UAMSHO!!!!!! Usinikumbushe zanzibar.

shosta, me post za Natalia zina burudani,over njeree ya A-town ikishatumia ile kitu,yupo Matejoo anawaza yupo Miami! Basi Tafrani mdomoni
 
Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!

Sasa kama mume anakupiga mzinga zile concept za 'mwili mmoja' na 'chako chetu changu chetu' zinaaply vipi? Mi nnavyojua hela zilizo benki, kwa watu(madeni), cash nyumbani, tgo pesa, z-pesa, m-pesa n whatever ni zetu wote...
 
Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu
Acha kujichanganya juu kwenye maada yako umesema wanawake wajenge nyumba kwanza hapa unasema umejengewa na wazazi pia umenunuliwa na mwanaume mbona husemi uliojenga wewe mwenyewe, halafu umejengewa na wazazi kwanini iswe mama peke yake ndio kakujengea kama ni rahisi sana kwa jinsi unavyodhani. Pia hata wao haikuwa rahisi kujenga mpaka serikali imeuza tena kwa bei rahisi. Kwa ufupi unashauri kitu ambacho hata wewe hujakifanya, kama ni nyumba za wazazi watu wengi wazazi wao wananyumba pia ila hawanampango nazo maana wanajua wanatakiwa watafute zao
 
Ngoja nimfuatilie huyu Binti Natalia labda ana la msingi kwenye hii hoja. Lakini hili alilolianzisha hata huko ulaya si la kuwezekana!!
 
Last edited by a moderator:
Natalia umetoa ushauri mzuri ila nahisi watazeeka!

Wanawake Jenga ndio uolewe.usisubiri kitchen party upewe Godoro.na baada ya harusi akianza shughuli ya viwanja eti kujenga mwambie ushajenga .ajemge yake ,ndoa ndoano akili kichwani..
 
Mshukuru Natalia King'asti, kakumbusha mbali!
Huyu ndio Natalia bhana!

Awe na miaka 30 atambe? Kala chumvi huyu mie tu najidai kukomazwa na shida ila anastahili shkamoo yangu asubuhi na jioni. Anakimbilia 40 huyu.
Lol, mamangu alikuwa anapiga marufuku kumuagiza maid anasema huyu ni maid WANGU sio WETU. Ama tupokezane kumlipa salary? Namshukuru sana aisee, hizi akili za kurumangia mmmh!
 
Natalia ana hisi humu ni watoto wa vigogo!
Hawezi kuishiwa vituko,subiri kituko cha kesho!

Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!
 
Kwa hiyo nyumba si zako kumbe!
Natali uhishiwi vituko lol

Back
Top Bottom