Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Kuna jamaa kanipatia mbegu kama sita hivi natarajia kuziotesha kesho. Naamini nitajifunza kupitia huu uzi ngoja wataalam waje.

.
Mbegu au miche? Kama ni mbegu usijis umbue, hardest nut on earth to crack so kuota kwake ni around 2 years ndio maana ni ngumu sana kupata miche na ukiipata cheapest 7000+ na hapa ni order mwaka 1 kabla. Ukipata grafted inaanza kuzaa after 3 years. Normal seedling 7 years
 
Ngoje tuone mkuu, nitasubiri.
 
Mbegu au miche? Kama ni mbegu usijis umbue, hardest nut on earth to crack so kuota kwake ni around 2 years ndio maana ni ngumu sana kupata miche na ukiipata cheapest 7000+ na hapa ni order mwaka 1 kabla. Ukipata grafted inaanza kuzaa after 3 years. Normal seedling 7 years

Jamaa unajua kuwafunga watu kamba wewe, zinaota chini ya mwezi mmoja tu 😀😀😀

Unachofanya unaziloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa saa 24, maji haya yatasaidia kulainisha gamba na kupenya hadi kwenye kiini na kukishtua!

Ukipanda ndani ya wiki mbili tatu mzigo unachomoza! Miaka miwili uliona wapiii? @uliona wapiiii
 
Jamaa unajua kuwafunga watu kamba wewe, zinaota chini ya mwezi mmoja tu

Unachofanya unaziloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa saa 24, maji haya yatasaidia kulainisha gamba na kupenya hadi kwenye kiini na kukishtua!

Ukipanda ndani ya wiki mbili tatu mzigo unachomoza! Miaka miwili uliona wapiii? @uliona wapiiii
Mkuu ligogoma, je ukifuata huo utaratibu wa kuziloweka kwa maji ya uvuguvugu na zikaota baada ya muda wa chini ya mwezi mmoja je kwa experience yako itachukua muda gani mpaka kuanza kuzaa
 
Kama hutafanyia grafting itachukua miaka 5 hadi 6 kuanza kuzaa, ukifanyia grafting ni miaka mitatu hadi minne.
 
Baada ya kupata mawazo humu na kusoma kuhusu Macadamia na kujua bei zake. Nilihamua kuingia shambani na kujaribu zao hili. Naweza kusema mwanzo ni mzuri kabisa

1606170316122.png
 
Jamaa unajua kuwafunga watu kamba wewe, zinaota chini ya mwezi mmoja tu 😀😀😀

Unachofanya unaziloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa saa 24, maji haya yatasaidia kulainisha gamba na kupenya hadi kwenye kiini na kukishtua!

Ukipanda ndani ya wiki mbili tatu mzigo unachomoza! Miaka miwili uliona wapiii? @uliona wapiiii
Jamaa alitaka kutudanganya. Ni kweli ni ngumu kuota lkn si mwaka mzima. Wengine tumeotesha kitalu na zimeota.
 
Baada ya kupata mawazo humu na kusoma kuhusu Macadamia na kujua bei zake. Nilihamua kuingia shambani na kujaribu zao hili. Naweza kusema mwanzo ni mzuri kabisa

View attachment 1633418
Kiongozi,hii miche imetokana na mbegu moja kwa moja au ni grafting imefanyika?.

Grafting husaidia kupunguza muda wa mmea kuanza kutoa matunda, husaidia pia kupata aina na ubora ule ule wa matunda kama mti mama/original plant.
 
Huo mche bado haujafanyiwa grafting. Napendelea kufanya grafting shambani. Hapa nasubili mwezi wa tatu mwakani kufanya grafting.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom