Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

Hizo V-Pills au Herbal vivi ndo SUPPLEMENTS zenyewe na sio Dawa kama Ramadhani anavodai. Ndo maana anasistiza mazoezi na mlo kamili. Ni kama gym vile, ukitaka misuli basi unakula supplements na kupiga mazoezi. Umenipata? Ok.

Duh....ngoja kwanza. Ina maana ukinunua hiyo dawa V-pills ni lazima uwe na supplements? Au hizo v-pills ndo supplements zenyewe. Minilikuwa nakula supplements nikivyoenda Gym...baada ya hapo sina time nazo tena.
 
Ok ahsante kwa majibu yako MziziMkavu swali ni kwamba je mdau saana na Sumba-Wanga ni kweli hawajala hivyo vyakula ulivyowashauri? Wamelithibisha hilo? Kwa mfano kwa mtu asiyepona baada ya kutumia hiyio dawa je una mbadala wa dawa ingine? Je dawa ina guarantee kwamba ni lazima upone?

Soma hii hapa....

Halafu soma na hii....

Wote hao wawili wamekomalia kwamba mgonjwa alikuwa hali chakula cha virutubisho...wamejuaje? Huyo kipindupindu nae amejuaje kwamba mgonjwa hajapona eti kwakuwa hajala vyakula hivyo??

ndio maana nasema huenda ni IDs mbili za mtu mmoja.
Sorry kama naingilia, ila ni mtazamo wangu.
Dawa ukitumia vile nitakavyo kuagiza utapona kwanini usipone ? mimi

mwenyewe nimetumia dawa hizi karibu miezi 6 na nimepona nimetumia chupa 6 sasa sili tena Dawa ninakula vyakula tu vya kuongeza

nguvu na vyakula vya lishe kama Tangawizi,Asali,Mdalasini, Kahawa,Tikiti maji,Samaki wa aina yote pweza. Na vyakula na mboga za

Majani na Matunda. Sasa utakuta mtu anatumia Dawa (Vidonge) kula kwake kuko poor hali vyakula vyenye kuleta afya na nguvu mwilini

anatarajia dawa ndio zimtibu peke yake tu? Itawezekana vipi kutumia Dawa tupu pasipo na ulaji wa vyakula vyenye kuleta afya na

nguvu je ataweza kweli kupona hivyo? Hata ukienda Hospitali Daktari anakuandikia dawa na huku anakuambia matumizi yake Dawa ukisha

maliza kula ndio ule dawa hakuna hata Daktari mmoja kwenye Ma-Hospitalini asiyesema hayo maneno kuwa ule chakula ndio ule dawa sasa

usipokula chakula kwa utaraitibu unaotakiwa utawezaje kupona? Sasa utamlaumu mimi niliye kupa dawa kuwa hazifanyi kazi?
 
As i said before a scapegoat.

Do you know what my menu constutute?

Unatafuta pa kutokea

Jibu main arguments.
 
Hizo V-Pills au Herbal vivi ndo SUPPLEMENTS zenyewe na sio Dawa kama Ramadhani anavodai. Ndo maana anasistiza mazoezi na mlo kamili. Ni kama gym vile, ukitaka misuli basi unakula supplements na kupiga mazoezi. Umenipata? Ok.

Duh kumbe ndo ipo hivyo?? Mh asante kwa taarifa mkuu.
 
Ok ahsante kwa majibu yako MziziMkavu swali ni kwamba je mdau saana na Sumba-Wanga ni kweli hawajala hivyo vyakula ulivyowashauri? Wamelithibisha hilo? Kwa mfano kwa mtu asiyepona baada ya kutumia hiyio dawa je una mbadala wa dawa ingine? Je dawa ina guarantee kwamba ni lazima upone?

Soma hii hapa....

Halafu soma na hii....

Wote hao wawili wamekomalia kwamba mgonjwa alikuwa hali chakula cha virutubisho...wamejuaje? Huyo kipindupindu nae amejuaje kwamba mgonjwa hajapona eti kwakuwa hajala vyakula hivyo??

ndio maana nasema huenda ni IDs mbili za mtu mmoja.
Sorry kama naingilia, ila ni mtazamo wangu.
Sio ID mbili za mtu mmoja mimi mwenyewe nilikuwa na hayo matatizo ya nguvu za

kiume kwa ushauri na matumizi ya dawa alizonipa mzizimkavu nimepona na nilikuwa ninapiga punyeto sasa kam mtu anakuja

kumuharibia jina mtu mwengine tunyamze eti ukisema ni ID mbili? kwa sababu unasema ukweli nini? Hata ukienda Hospitali Dakatari

akikupa dawa anakuambia na masharti yake ukimaliza kula chakula ndio ule dawa sasa wewe usipo fuata ushauri wa Daktari halafu

hukupona utamlaumu nani? Acheni ujinga wenu munatafuta mujulikane kwa kupitia mgongoni mwa mkuu MziziMkavu? acheni

kumuharibia jina mkuu mzizimakavu.
 
Umejuaje kama hatukufuata masharti? Kwani tukipokuwa tunatumia tulikuwa pamoja na wewe?

Very simple mind as a scapegoat. Jibu hoja mwaka huu huchomoi...ile ya wajinga ndio waliwao imefikia mwisho
 
Ndugu kipindupindu,

Nimeipenda hii ya kwako aisee. Yaani hata utukane ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Huwezi badilisha ukweli.. Kwa iyo unanishauri nikupe tena dola 230 nyingine ati eeh?

Saana

Sio ID mbili za mtu mmoja mimi mwenyewe nilikuwa na hayo matatizo ya nguvu za

kiume kwa ushauri na matumizi ya dawa alizonipa mzizimkavu nimepona na nilikuwa ninapiga punyeto sasa kam mtu anakuja

kumuharibia jina mtu mwengine tunyamze eti ukisema ni ID mbili? kwa sababu unasema ukweli nini? Hata ukienda Hospitali Dakatari

akikupa dawa anakuambia na masharti yake ukimaliza kula chakula ndio ule dawa sasa wewe usipo fuata ushauri wa Daktari halafu

hukupona utamlaumu nani? Acheni ujinga wenu munatafuta mujulikane kwa kupitia mgongoni mwa mkuu MziziMkavu? acheni

kumuharibia jina mkuu mzizimakavu.
 
WanaJF,

Mbona kuna post nimetuma kwenye hii thread lakini nashangaa zimefutwa? Nimeingia kwa INBOX yangu nakuta message '1 Reputation Comment'. Sasa nashindwa elewa ndo nini tena ii. Hebu nijuzeni mnaojua hii issue.

Saana Tu
 
Basi 2wasilisiliane bro uko pande zipi maana me nko TANZANIA ww je? Na kwan TZ hakuna dawa hizo....
Kama upo Tanzania kuna dawa anatoa mama mmoja ambaye alimtibu kaka yangu. Anaitwa Neema Charles Simu yake ni 0754768929 jaribu kumtafuta. Lakini mambo yakiwa mswano njoo tushuhudie hata yasipokuwa njoo tueleze ili wagonjwa wasipoteze muda wao.
 
Daaah kwl kazi ipo bac me nko TZ Mtu wang kama vp tuwasiliane FB natumia jina la Winston Muga Jr. Ukiniona we ni add 2 tuchat kwa maelezo meng zaid sawar...? Tafadhal ntafute uniad maana na shida xana
 
Xaxa ndugu yang nanjilinj inamaana ww hiyo dawa ya huyo mama inaitwaje? Na ilishawah kukusaidia ukapona....? Nifafanulie kidogo tafadhal..
 
Jombaa kwa hiyo three months yakutumia hiyo dawa mpango wa kando unaendelea kukamua kama kawa au kama dose ya TB? Vipi kwa wale mashine zao ndefu na kupindia kushoto dawa ya kuzinyoosha zipo?

Ha ha ha ha haaaaaa nimecheka sana.
 
1400070549322.jpg 1400070581521.jpg 1400070657332.jpg
 
Back
Top Bottom