Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

Hahahaaa Geneva ya Rungwe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na ana roho ngumu kama mchembe wa kiangazi. 😁

Kuna mtu yupo Ulaya ndiyo anakuwa anampa info za huko.

Na yeye pia anasearch sana kwenye internet... that's why anakuwa na dead/repealed data.

-Kaveli-
Mkuu nipo Rungwe hapa Wala usijali
 
Wewe muongo jamani. France,Germany,Uswiss,Italy hizo zote ni Schengen. Hazina control. Ukitoka Germany kuingia Uswiss unapita tu. Ila wewe jamani khaaaaah.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu yupo Geneva ya Rungwe.

Huyu mhuni alipewa za uso na mjuaji mkuu bwana Kiranga, hadi mhuni wa Geneva akaukimbia ule uzi wake... πŸ˜‚πŸ˜‚
IMG_20200513_233516.jpg

IMG_20200513_233446.jpg

IMG_20200513_233554.jpg

IMG_20200513_233725.jpg

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom