Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

Psychologist wanasema behaviour reveals a lot about a person character and thinking ata akijaribu kuficha.

Mtu ana anzisha thread kutaka kuonyesha tu fulani hayupo huko alipo sasa unafaidika nini awepo asiwepo; mtaani kwetu tunamsemo ‘maumivu ya kichwa uanza polepole ukitaka kufuatilia maisha ya watu’..
Jamii haikosi watu Kama hao lazima tujue namna ya kuishi nao ili maisha yaende
 
Hivi wabongo tunashida gani? mtu kajitoa kueleweshwa na kutoa fursa zilizopo wewe shida yako ni nini kujua kama yupo huku ama la, kama umeshawahi kufika swiss utatambua kwamba ni vigumu kwa mleta mada kuelezea vitu vyote hivo kama hayupo huko au hajawahi kufika.
Mkuu Mimi hawa Wala hawanipi shida najua yawezekana Wana msongo wa mawazo najua namna ya kuishia nao
 
Kwani umekula hata mia ya mtu?,BASI NAKUSHAURI TEMBEA KIFUA MBELE NA SHISHA UBAMBUUDAMBU NA UMETEUMATE WA KUTOSHA APA!!!WENYE WIVU WATAJICHUJA TUUH

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
😃😃 Usijali kabisa Mimi Wala hawanipi shida,ndo maana nitaendelea kuandika huku kile ninachofahamu na kukiona kutoka huku
 
😄😄Mimi siombi mtu pesa, Kama yupo mwenye uthibisho huo alete RELAX mkuu utaumia bure, Kama unaona maandiko yangu hayakufai yapuuze

Wapi au nani kasema umeomba mtu pesa? Hujuwi hata kusoma ukaelewa.

Wewe na wajinga wenzio humu mlikuwa mnaandaa mazingira ya kuja kuwapiga watu hela soon huko gizani PM. This is the fact na hauna namna yoyote bora ya kuukanusha wala kuubadili uhalisia huu ulioibuliwa.

You are just a poor liar!
Go back to school to learn the "Trickery and Deception".

Muuza samaki wa Yombo dovya. Umevuliwa nguo bro 😂😂

-Kaveli-
 
Sawa mkuu Mimi ni tapeli na nauza samaki hapa yombo dovya, karibu nikuhudumie
 
Back
Top Bottom