The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,302
- 20,317
Mkuu, wajinga hawaishi mjini...unajua hilo??Hivi kuna mjinga angeweza kujaa kisa nyuzi zake mkuu? Mfano wewe hapo ungejaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wajinga hawaishi mjini...unajua hilo??Hivi kuna mjinga angeweza kujaa kisa nyuzi zake mkuu? Mfano wewe hapo ungejaaje?
Nimeona upuuzi mkuu kuleta mavideo kwa vitu visivyoniathiri, otherwise Kama ningekuwa nimemtapeli mtu au viashiria hivyo happy ningejitetea lakini si kwa habari za wivuMkuu...kwenye uzi kule, si ulisema utaleta ushahidi w akujitetea ukifika/ukirudi maskani kwako? now unasema Lockdown bado inaendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa, ila baridi la huko linazingua sana......halafu sisi ambao hatupendi dharau za wazungu kuhama siti ukienda kukaa karibu naye kwenye usafiri wa umma huwa tunaamua kutembea kwa mguu, unaua tu winga fasta upo katikati ya mji...😃😃Kuna migahawa ya Kiafrica mkuu
Jamii haikosi watu Kama hao lazima tujue namna ya kuishi nao ili maisha yaendePsychologist wanasema behaviour reveals a lot about a person character and thinking ata akijaribu kuficha.
Mtu ana anzisha thread kutaka kuonyesha tu fulani hayupo huko alipo sasa unafaidika nini awepo asiwepo; mtaani kwetu tunamsemo ‘maumivu ya kichwa uanza polepole ukitaka kufuatilia maisha ya watu’..
Psychologist wanasema behaviour reveals a lot about a person character and thinking ata akijaribu kuficha.
Kwani umekula hata mia ya mtu?,BASI NAKUSHAURI TEMBEA KIFUA MBELE NA SHISHA UBAMBUUDAMBU NA UMETEUMATE WA KUTOSHA APA!!!WENYE WIVU WATAJICHUJA TUUHSawa mkuu
Mkuu Mimi hawa Wala hawanipi shida najua yawezekana Wana msongo wa mawazo najua namna ya kuishia naoHivi wabongo tunashida gani? mtu kajitoa kueleweshwa na kutoa fursa zilizopo wewe shida yako ni nini kujua kama yupo huku ama la, kama umeshawahi kufika swiss utatambua kwamba ni vigumu kwa mleta mada kuelezea vitu vyote hivo kama hayupo huko au hajawahi kufika.
Explain
😃😃 Usijali kabisa Mimi Wala hawanipi shida,ndo maana nitaendelea kuandika huku kile ninachofahamu na kukiona kutoka hukuKwani umekula hata mia ya mtu?,BASI NAKUSHAURI TEMBEA KIFUA MBELE NA SHISHA UBAMBUUDAMBU NA UMETEUMATE WA KUTOSHA APA!!!WENYE WIVU WATAJICHUJA TUUH
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hongera!Ni kweli mkuu huyo ni mimi
😄😄Mimi siombi mtu pesa, Kama yupo mwenye uthibisho huo alete RELAX mkuu utaumia bure, Kama unaona maandiko yangu hayakufai yapuuze
Sawa mkuu Mimi ni tapeli na nauza samaki hapa yombo dovya, karibu nikuhudumieWapi au nani kasema umeomba mtu pesa? Hujuwi hata kusoma ukaelewa.
Wewe na wajinga wenzio humu mlikuwa mnaandaa mazingira ya kuja kuwapiga watu hela soon huko gizani PM. This is the fact na hauna namna yoyote bora ya kuukanusha wala kuubadili uhalisia huu ulioibuliwa.
You are just a poor liar!
Go back to school to learn the "Trickery and Deception".
Muuza samaki wa Yombo dovya. Umevuliwa nguo bro 😂😂
-Kaveli-