Lieberman: Kiukweli tumewashindwa Hamas

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,877
Avigdor Lieberman akiri kwamba Israel imeshindwa na harakati ya HAMAS Ukanda wa Ghaza
Jan 10, 2019 15:52 UTC
Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Israel, Avigdor Lieberman sambamba na kukiri kwamba siasa za Tel Aviv mbele ya HAMAS zimefeli, amesema kuwa harakati hiyo ya Kiislamu imepata mafanikio makubwa kama ambavyo imeendelea kubakia imara.
Lieberman ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya 7 ya televisheni ya utawala huo na kuongeza kwamba Israel ilisalimu amri mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika vita vya hivi karibuni.
Aidha amezungumzia muqawama wa Palestina dhidi ya Israel na kusema kuwa, wanamapambano hao hawaogopi kitu chochote na kwamba Tel Aviv haina siasa za maana za mustakbali wake katika kukabiliana vilivyo na harakati ya HAMAS.
Amekiri kwamba siasa za utawala huo katika eneo la Ukanda wa Ghaza zinaelekea kufeli. Katika mahojiano hayo, waziri huyo wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni amesema, katika vita vya siku mbili kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Tel Aviv ililazimika kutangaza usitishaji vita siku mbili tu baada ya harakati hiyo kuvurumisha zaidi ya makombora na maroketi 500 upande wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni. "Uvurumishaji wa makombora na maroketi zaidi ya 500 kutoka Ghaza dhidi ya vitongoji vya Israel, ni kufeli kukubwa kwa baraza la mawaziri la Netanyahu." Amesema Avigdor Lieberman.

My take:Hamas wame-advance oneni makombora yao tofauti na mwanzo
4bpm3a04e30e0911hdq_800C450.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My take:Hamas wame-advance oneni makombora yao tofauti na mwanzo View attachment 991544

Sent using Jamii Forums mobile app
"Utawala haramu"
Nimeishia hapo hapo.
 
Dawa ya kuvifuta hivi vikundi vya kigaidi mashariki ya kati hadi Yemen, Lebanon, Palestine, Syria ni kuipiga na kuimaliza Iran.. Iran is the source of all evils..!! Soon atashika adabu yake..!!
 
Tangu lini hamas,hezbullah n.k wakawa magaidi! Si hao hao makafiri/marekani/israel ndio magaidi. Nyie watu wa ajabu sana. Mnachukia uislamu na munawachuia waarabu kiujumla. Na hii imeshaandikwa katika kitabu kitukufu/Qur'an kuwa "Wayahudi na Wakristo hawatakuwa radhi nanyi mpaka mtakapofuata dini yao" ndiyo haya tunajionea kwenu mkuu!
 
Hivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu isome tena na tena hii post

Mungu hadhiakiwi jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAA AISEEE MI NAPITA TU JAMANI SIO KWA MAKAVU HAYA
 
Tangu lini hamas,hezbullah n.k wakawa magaidi! Si hao hao makafiri/marekani/israel ndio magaidi. Nyie watu wa ajabu sana. Mnachukia uislamu na munawachuia waarabu kiujumla. Na hii imeshaandikwa katika kitabu kitukufu/Qur'an kuwa "Wayahudi na Wakristo hawatakuwa radhi nanyi mpaka mtakapofuata dini yao" ndiyo haya tunajionea kwenu mkuu!
Ila nyie mnawapenda?
 
Hivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu majina yasikutishe allah maana yake ni MUNGU. kuwa makini na kutafuta sifa za kijinga
 
Kama hao Hamas na Hezbora wangekua na nguvu hi ambayo tunataka kuaminishwa hapa then wangekua wameisha IFUTA Israel usoni mwa dunia siku nyingi sana, maanake hiyo ndio dream ya watu wa mashariki ya kati ambao sio Waisrael so to me nazichukulia hizo statements za huyo former waziri kama propaganda tu, kumbukeni ya Idd Amini na wale mateka wa Entebbe, Israel ilisema hivyo hivyo kwamba ipo tayari kutii masharti ya Amin, kilicho fata is HISTORY
 
Back
Top Bottom