Badilisha nchi ya kwenda....Natumia UFO VPN lakini bado siwezi kupost picha Facebook
Post za kawaida zinakwenda ila sio picha
Tumia VPN SUPER. Download Apk kupitia google au playstore kama unawezaingiaNatumia UFO VPN lakini bado siwezi kupost picha Facebook
Post za kawaida zinakwenda ila sio picha