Licha ya kwenda na Waganga wa Kienyeji 17 Nigeria, hatimaye Rivers United FC yakubali Kuuza Mechi kwa Tsh Bilioni 2 na Kesho wanafungwa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Sikulazimishi uiamini hii Taarifa yangu ila Taarifa ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo changu ndani ya Yanga SC na Wadhamini wao kimenihakikishia kuwa wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC.

Licha ya kwamba Klabu ya Yanga imesafiri na takribani Waganga wa Kienyeji 17 ambapo 7 wanatoka Pemba na Unguja, 3 wanatoka Mwanza, 4 Kilwa, 2 Rukwa, 3 Mtwara na 1 Dar es Salaam Kigamboni ila tayari Wadhamini wa Yanga SC kwa Kushirikiana na Viongozi wameshamalizana Kimjini Mjini na Klabu ya Rivers.

Mpango ulianza Kusukwa hapa hapa Dar es Salaam baada ya Kufungwa na upesi sana Wadhamini wa Yanga kwa kumtuma Kaimu CEO wao Senzo walimtuma atangulie na Mzigo wa maana ( Pesa ) ambayo inakadiriwa kufika Tsh Billion 2.

Kwa Kuogopa lawama za Mashabiki na kujiweka katika Hatari ya Kutoaminika nao hasa Timu inapoelekea katika Mabadiliko ambapo Wadhamini hao wanaitaka mno Klabu ili waendelee Kupiga Pesa zaidi na Kuwaaminisha Mashabiki wao kuwa Wamesajili vyema imewalazimu wajitoboe mfukoni na kumalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC.

Kwa wale Wapenzi ( Mashabiki ) wa Simba SC kuanzia sasa tujiandae na tujipange Kisaikolojia kwa Tambo kutoka kwa Yanga SC kwani kwa Taarifa nilizohakikishiwa ni kwamba Kesho Rivers United FC anafungwa ama Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Yanga SC na kuendelea na Mashindano.

Nasisitiza sikulazimishi uamini Uzi huu.
 
@gentamycine ni noma
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom