barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa Facebook na raia wa Marekani mwenye asili ya Uisrael,amekuwa akipigia sana upatu ndoa za jinsia moja na kutaka zihalalishwe na mashoga wapewe haki yao kama binadamu wengine.Mark alienda mbali mpaka akawa anatoa msaada wa kifedha kwa wanaharakati ambao wanatetea ndoa za jinsia moja na haki za mashoga dunianu.
Ungefikiri kuwa kwakuwa jamaa ni "championi" wa mapenzi ya jinsia moja basi na yeye angeacha kuoa na kutafuta mtu wa jinsia yake na kuishi nae ndani.Mark ameoa na hivi karibuni amebahatika kupata mtoto na kumpa jina la Max ,mtoto huyo amepatikana baada ya Mark kuwa ana mke na wanakutana tofauti na ambapo tungedhania angewatafuta mashoga awaoe na asiwe na ndoto za kuwa na mtoto.
Max
Mtoto wa Mark na mkewe ameanza kufundishwa masomo ya ufundi kama Phyisics,Hesabu na Chemisrty angali na miezi kadhaa.Lengo la Mark ni kuja kumrithisha mwanae kampuni yake na awe ndio CEO wakati Mark akiwa anazeeka.