eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
- Thread starter
- #21
Israel ampige Russia ni kitu ambacho hataweza na wala hatakaa afanikiweRussia anawajaza silaha maadui wa Israel, hii inatosha kabisa kuwa sababu ya Israeli kumpiga Russia ili asiwauzie silaha maadui wake.