licha vichwa kujaa siasa zanzibar,lakini wanasiasa kwa hili wamefanikiwa na wametupiku wabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

licha vichwa kujaa siasa zanzibar,lakini wanasiasa kwa hili wamefanikiwa na wametupiku wabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Mar 30, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kutembea sana Zanzibar.lkn sijaona majina ya shule (kwao huita skuli) yenye majina ya wanasiasa.
  kwa mafanio majina ya shule ya wanasiasa ni wale waliopigania ukombozi wa tanzania, africa na baadhi ya nchi
  i) Fidel-castro iliopo kisiwani Pemba
  2) Benbella iliopo Mjini Unguja
  3) Lumumba.
  4)Haile Salasi
  5)Nkurumah= chuo cha ualimu
  6)Mwalimu Nyerere = Chuo kiliopo Maisara Mjini.
  7)Chuo Cha Karume = Mbweni.
  majina ya wanasiasa yapo kwenye barabara, najumba, mitaa,viwanja vya mpira.
  sijasikia majina ya DK bilali, Ali hassan Mwinyi Sec School, Amani sec school, jumbe sec school, kikwete primary school. mama shadia school,kawawa sec school.
  makamba sec school
  maalim seif sec school.
  lakini kwa upande wa bara naona majina mingi ya wanasiasa kama Edward Lowasa. makamba sec school, kawawa na wengine.
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mnaongozana kikasumba na ukiangalia kwa kina sana utaona ni usultani wa CCM tu na udiniudini hamuna jipya.
   
 3. kitungi

  kitungi Senior Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni hatari sana pale upeo wa mtu unavyojionyesha kwenye maandishi yake!
   
Loading...