Libya na kero ya mafuta tanzagiza

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Wale wote walio ambao wanasapoti nato kuipiga libya ndio...uhaba wa mafuta.libya ni nchi ya nchi ya nne arica kwa uzalishaji wa mafuta, inagawaje mafuta ya libya yalikuwa hayaji Tanzania lakini vita vimeathiri mfumo wa usambazaji mafuta,wafanya biashara wanaangalia kwenye soko kubwa, tanzania hakuna soko kama ulaya, kwahiyo pungufu ya mafuta ya libya ulaya wanachukua haya ya kwetu kuziba pengo. na ukiangalia wafanyabiashara wa mafuta wamezoea faida kubwa so hawapo tayari kushusha bei.....hii inci haiongozwi na wanasiasa bali wafanyabiasha wengi wao wa mafuta angalia bungeni utanipa jibu.
 
Back
Top Bottom