Libya itajengwa kwa rasilimali za libya- david cameron

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ameliambia bunge la nchi hiyo (House of Common) kuwa, ujenzi wa Libya baada ya Gaddafi utatumia rasilimali za libya yenyewe akimaanisha oil reserve iliyopo Libya. Wengi wetu tulifikiri wangeshiriki kuijenga Libya kama walivyoshirikiana kuiangamiza nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom