Liberia: Marudio ya duru ya pili ya uchaguzi; George Weah atwaa ushindi

George Weah has been voted president of Liberia after clinching 12 of the 15 counties in the west African country.

Weah has taken to Twitter to thank all his supporters, saying that he plans to liberate the country.

The former AC Milan striker becomes the 25th president of the country.

His opponent, 73-year-old Joseph Boakai - who has been the country's vice president for the last 12 years, got only two counties to vote for him.

The 25th president?
 
mwanasoka atawaletea maendeleo gani sasa
1.Reagan alikuwa mcheza cinema akawa raisi wa Marekani 2.Papa Francis ujana wake ameshawahi kuwa bouncer kwenye kumbi za starehe.3.Rais wetu mhe Magufuli ameshawahi kuwa mwalimu na mkemia 4.Rais Moi,Nyerere na Mwinyi wameshawahi kuwa walimu 5.Mhe raisi mstaafu Mkapa ameshawahi kuwa mwandishi wa habari .Kabla ya kupata kitu alichokupangia unafit mungu anakupitisha sehemu zingine kwa makusudi maalum anavyojua yeye.
 
Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ni pongezi zinazotolewa kwa president elect George Wear wa Liberia. Kiongozi huyu amepitia katika harakati mbalimbali hadi kufikia katika mafanikio aliyoyapata leo. Swali la msingi; Je wanasiasa wa Tanzania wanajifunza nini kutoka kwa George Wear?
 
Attachments

  • IMG_20171227_130339_698.jpg
    IMG_20171227_130339_698.jpg
    26 KB · Views: 33
Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ni pongezi zinazotolewa kwa president elect George Wear wa Liberia. Kiongozi huyu amepitia katika harakati mbalimbali hadi kufikia katika mafanikio aliyoyapata leo. Swali la msingi; Je wanasiasa wa Tanzania wanajifunza nini kutoka kwa George Wear?
Police na tume ya uchaguzi pamoja na vyombo vingine vya usalama visiwe sehemu ya chama tawala
 
Labda tuseme hao waliberia ndo kuna kitu wamejifunza kutoka kwetu, make enzi zile wanachapana risasi tulipeleka jeshi letu kulinda amani kule, hivyo ni wachanga sana kwetu sisi kujifunza kutoka kwao, wao ndo wamejifunza kutoka kwetu.
 
Police na tume ya uchaguzi pamoja na vyombo vingine vya usalama visiwe sehemu ya chama tawala
Pia chama makini kisiwe kimbilio la watu wenye tuhuma za ufisadi. Na muhimu chama kisiwe dodoki la kusafisha tuhuma za wenye kutuhumiwa,kwani tuhuma zitakapothibitika itakuwa ni anguko la chama
 
Pia chama makini kisiwe kimbilio la watu wenye tuhuma za ufisadi. Na muhimu chama kisiwe dodoki la kusafisha tuhuma za wenye kutuhumiwa,kwani tuhuma zitakapothibitika itakuwa ni anguko la chama
Inachukua muda gani kuthibitisha tuhuma? Tuhuma zisizothibitika zinabaki kuwa uzushi
 
Police na tume ya uchaguzi pamoja na vyombo vingine vya usalama visiwe sehemu ya chama tawala
Your argument require a more critical analysis. Actaully; we need to know laws that established their authorities. I do not think the laws established their authorities allows your argument.
 
Kama mwana michezo na mpenda soka na mtanzania nakupongeza kwa kuukwaa urais,waongoze wa Liberia kwa kufuata katiba ya Liberia na uishi kama mwanadamu.
 
Kama mwana michezo na mpenda soka na mtanzania nakupongeza kwa kuukwaa urais,waongoze wa Liberia kwa kufuata katiba ya Liberia na uishi kama mwanadamu.
Unapongeza!!¡!!!!!!! Wewe na umri huo ulio nao huna cha kupongezwa kutwa umbeya wa kupongeza wenzio huoni haya.mwangalie loooo!!!!
 
Back
Top Bottom