Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Wiki iliyopita tuliona serikali ya Marekani ikitoa ushauri kwa serikali ya CCM kukaa meza moja na Chama kikuu cha upinzani CHADEMA ili kumaliza tofauti haswa baada ya kushtakiwa Mwenyekiti Mh. Freeman Mbowe kwa kesi ya ugaidi, Je serikali hii inaweza kupinga ushauri huo?
Hakuna chama kikuu cha upinzani Tanzania kwa sasa ila kuna wanaharakati wanaofadhiliwa kutoka nje ya nchi na sio wananchi wenyewe.
 
Back
Top Bottom