Li wapi fagio la chuma la Mzee Ruksa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Li wapi fagio la chuma la Mzee Ruksa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkaa Mweupe, Jul 29, 2009.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa hali hii inayoendelezwa na sera za ANGUKA (Ari, NGUvu na KAsi ) Mpya, zinanipa hasira kutaka kujua lile fagio la chuma lipo wapi kuwafagia hawa wabadhirifu, mafisadi, manyang'au wanaolipeleka Taifa letu katika sera za kubaguana yaani wenye nazo na makaputi.

  Nauliza tena Fagio La Chuma lipo wapi? Au limepata kutu na kuvunjika?
   
 2. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160

  Mkuu mkaa Mweupe, wewe uko nchi gani?! Una kumbukumbu yoyote hilo fagio lilishafagia uchafugani? Mbona lilivunjika na vipande vyake viliyeyushwa kwa ajili ya kazi zingine ndogondogo na za hovyo hovyo hata kabla ya kuanza kufagia!
   
 3. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kipindi cha kati nilikuwa pembeni kidogo na mambo ya siasa ila kwa sasa hii siasa inaharibu mipango yote ya maendeleo na watu wamekuwa wabinafsi sana.
   
Loading...