LHRC yawataka TCRA na Makampuni ya Mawasiliano kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya kukatika kwa mtandao nchini

Umeme na maji hivyo vyote vipo kwenye upande wa serikali ya ccm. Kwani haoni watu wakiwa wanalalamikia serikali kila mara juu ya kukatika katika kwa umeme na ukosefu wa huduma ya maji pamoja na miundo mingine kama barabara, huduma ya afya, n.k?
Kwa mantiki hio
Vyote vyao
Tutatumia watakavyo wao
Tuko kwao tusijisahaulishe.
 
Sishangai ukawa umezaliwa Within 2000's umekuta kila Kitu kipo.. hujui Nchi ilipotoka

Kaa kimya
Stupid assumptions, nimazaliaa zamani sana probably kuliko wewe na mambo niliyoyaona ni mengi unlike mnaokaa mnajifungia mnahisi dunia inawazunguka nyie. Get the fck out ujifunze maisha
 
Iv ana kuja mtalii then ana ambiwa atz hakuna internet . Kwa akili yako huyo mtalii atakanyaga tena Tz ? Never ever so lazima tutalipia huu upuuzi in few days to come
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
Kila kitu Malaika... sijui kuna yule anatamani apate uongozi pale mbinguni awaongoze maMalaika, mara awe mfagizi miongoni mwao, mara wewe unaota kivyako kuhusu hao maMalaika, unafikiri Mungu amekuumba ili uingilie mamlaka yake kuhusu ma Malaika??? Wa Tanzania kama nyie mlirogwa na nani??
 
Back
Top Bottom