Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,263
- 2,986
Umefikiria kwa kutumia nini? Mimi nimejiunga kifurushi cha internet cha mwezi mzima hivyo nimetoa ela yangu ili nipate huduma inayostahiki.Sikujua kama kupata internet au kutokupata ni ,,haki za Binadamu'' hii ni mpya kwangu, cha ajabu watu wengi maji hayatoki bombani lkn hawatetewi, ...
Kitendo cha kubinya huduma ya internet wakati nimeshalipia ni ukandamizaji wa haki yangu. Kuna watu wamejiunga kifurushi cha siku, wiki, mwezi nakadhalika nao wametoa ela zao hawakutoa mawe.
La pili kuna kazi nyingi za kuwaingizia watu kipato zinaharibika kutokana hili tatizo. Mtandao kwasasa ndio inayoendesha biashara mbalimbali ulimwenguni.
Hayo maswala ya maji wahoji serikalinya ccm yako iliyokaaa madarakani miaka tele halafu bado miundo mbinu ni tatizo kwa taifa.