LHRC yaikumbusha Serikali kurejea Mahakama ya Afrika

UNAFIKI wa kujua hawana nguvu ya hoja hivyo nguvu yao ni kutumia dola ili kuwabambikia Watanzania kesi FAKE ili kuwanyamazisha katika madai ya HAKI, UHURU na USAWA.
Lakini kuingia au kuridhia hii mikataba si huwa bunge ndiyo linapitisha? Sasa je walivyojitoa huo mwaka 2019 bunge liliridhia hili jambo?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hiyo Mahakama haina lolote, sio kwa maslahi ya Watanzania.
Tofautisha serikali na Watanzania wote, unaweza kukuta serikali ndiyo ilibanwa kwa haya haya mambo ya kuoneana na rufaa ikienda kwenye hiyo mahakama, ambayo viongozi wetu hawawezi kuwaburuza basi shida inaanzia hapo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu tuna Bunge lililoamua kuwa kitengo cha maccm. Hakikemei Serikali kwenye jambo lolote lile lenye maslahi makubwa kwa Taifa. Wapo wapo tu kujilipa mishahara mikubwa na marupurupu huku wakiwa hawafanyi lolote.

Lakini kuingia au kuridhia hii mikataba si huwa bunge ndiyo linapitisha? Sasa je walivyojitoa huo mwaka 2019 bunge liliridhia hili jambo?
 
Tofautisha serikali na Watanzania wote, unaweza kukuta serikali ndiyo ilibanwa kwa haya haya mambo ya kuoneana na rufaa ikienda kwenye hiyo mahakama, ambayo viongozi wetu hawawezi kuwaburuza basi shida inaanzia hapo.
Weka ushahidi, wacha kuburuzwa na hao waosha vibibi vya kithungu USA..
 
Back
Top Bottom