LHRC: Watoto wawili hubakwa au kulawitiwa kila siku nchini

FikraPevu

JF-Expert Member
Jan 2, 2010
304
236
LHRC-Kaimu.jpeg

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) akizungumza na waandishi wa habari

TANZANIA imeungana na mataifa mengine barani Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, huku mtoto wa Tanzania akiendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohatarisha afya, elimu na makuzi katika maeneo mbalimbali nchini.


Aidha, FikraPevu imebaini kuwa, kwa takribani miaka 24 iliyopita tangu bara hilo lianze kuadhimisha siku hiyo, tatizo la kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbili limezidi kushika kasi ambapo....

Habari zaidi, soma=>LHRC: Watoto wawili hubakwa au kulawitiwa kila siku nchini
 
Ubakaji,Ulawiti n.k, ni roho kamili ya shetani duniani kote! Mtu haogopi tena kupelekwa jela maisha! those're not psycological problems but spiritual ones! Kwa matatizo hayo, si serikali, bunge au mahakama, wenye majibu! "TUACHE DHAMBI, TUOKOKE"
 
Back
Top Bottom