LHRC: Kuitisha Mkutano kesho juu ya Mgomo wa MadakrarLegal and Human Rights Centre | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LHRC: Kuitisha Mkutano kesho juu ya Mgomo wa MadakrarLegal and Human Rights Centre

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lasikoki, Mar 5, 2012.

 1. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Legal and Human Rights Centre

  Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari, mnaalikwa kuhudhuria kwa wingi mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho, Jumanne, Machi 6 2012, katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia - Tanzania (TGNP), vilivyoko Mabibo jijini Dar es Salaam. Lengo ni kutafuta suluhisho la kudumu kuhusu mgomo mwingine wa madaktari ili kuzuia vifo zaidi vya Watanzania. Tuhudhurie kwa wingi.

  NB: Muda ni saa Tatu Asubuhi Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP - Mabibo, Dar es Salaam

  My take: Serikali angalieni msije kuta mnajenga ukuta badala ya kuziba ufa. Let Mponda and Nkya go amd sit down with doctors na jaribuni kutatua matatizo yao. This time hatutaki mje kwenye misiba ya wahanga wa mgomo but we want you to prevent it
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mbona nahisi unaweza ukawa mkutano wa kudumu??tutafakari.
   
 3. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ule wakati wa tz tulikuwa tunaungojea umefika.
  Chonde chonde Kama kweli ww ni mwanamaponduzi wa kweli kesho tukawaunge WANAHARAKATI mkono.
  Nchi hii itakombolewa na ww na mimi, usikae kulalamika kwenye keyboard ukafikiri utaleta changes .
  BE THE CHANGE U WANT TO SEE IN THE WORLD .
  Kesho Tuungane na WANAHARAKATI kuleta mabadiliko ya ukweli.
   
 4. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Really am not sure, but so far so good.....Lets applaud them
   
 5. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika wana JF wote wenye kutaka mabadiliko nawahimiza kesho wajitokeze kwa wingi kutoa support yao katika hili. Then iwe fundisho kwa serikali yetu kwa wasijifanyie tu mambo coz mamlaka na nguvu ya umma can be extremely limitless if not handled with care

  Shime shime wote tujitokeze kwa wingi
   
 6. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii ni habari njema kwa watanzania wote,shime shime njooni tupaze sauti na milima isikie
  Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mabadiliko yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Mtu unakuta anajiita mwanaharakati ili tumbo lake lipate daily bread tu. Tanzania hakuna hata photocopy ya wanaharakati, nendeni mkatembeze homa juani tu maana upuuzi mtakaoujadili hautashugulikiwa kwa namna yoyote ile, labda mtaambulia ahadi kama zile ambazo watoto huwa wanaahidiwa kupewa pindi wanapolia, na wanyamazapo tu ahadi haitekelezi.
  Ushauri wangu kwa watu mtakaochezea siku ya kesho kwa kuhudhuria LRHC ni bora hata ukabaki ndani tu ukalala.
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tatizo wala si la kwako, shida ni unayemtumikia anakunyonya hadi akili japo ya kufikiri kidogo. Mfumo wa maisha wa siku hata siku unakunyima kufanya tafakuri ya jambo lolote.

  Chunga sana ndugu, ila karibu kwenye mkutano by the way
   
 9. e

  eddy JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,399
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mama Bisimba na Mama Nkya watakuwepo? itabidi niende na kikoi najua polisi lazima wawepo na hawa akina mama safari hii watavua nguo hadharani!
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mimi mgonjwa wangu akifa safari hii naanza na HELLEN KIJO BISIMBA na pesa za ugaibuni ili kuwaridhisha Wazungu kuwa zinafanya kazi
   
 11. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,185
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  Wakuu msimsikilize huyu siyo mtanzania ni raia wa kenya namfahamu sana. Kesho tujitokezeni kwa wingi, waamasisheni na wengine waudhurie kwa wingi
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,185
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  wewe ni mwana Apollo-India bwana. Kule hawajanuia kugoma utampeleka tu.
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kama ningekuwa Dar lazima ningeenda, mliokuwa Dar mtatuwakilisha nasi tuliombali na Dar
   
Loading...