Lg notebook x130

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
97
24
Wapendwa wanajf,. kwa sasa ni takribani miezi mitatu tangu ninunue hiki ki'laptop changu., tatizo nililonalo hadi sasa sijafanikiwa kuwasha wala kutumia camera ya hii laptop yangu,.,naombeni msaada wenu tafadhali,.,., thank U in advance (LG NOTEBOOK X1300
 
Tafta software ya picasa au webmarks unawezazi download piratebay.org lakini hakikishacomp utakayo tumia download ina downloader manager otherwisehutoweza
 
Taabu kweli hata software za bure tunachakachua sasa! Picasa ni free software hakuna haja ya pirate bay. Anyway sidhani kama itatatua tatizo la webcam.

Anyway anza kwa kubonyeza key za Fn + F10 kwa pamoja uone kama itawaka.

Ikishindikana hiyo fanya hivi

Shut down your computer
Take out the battery
Start the computer with no battery (with the AC/DC cable plugged in)
press F2 fast....and then you enter in the "BIOS"
Select "Load default values" in the last menu from the bios
Save changes and exit
Then let the computer start windows, and after it is started, turn off the computer again.
Put the battery inside the computer
Start the computer (with the AC/DC cable plugged in)
 
Nashukuru kwa ushauri ila hii camera ndo haiwaki,.,sasa sijui kama sijui kuiwasha au itakuwa na tatizo jingine
 
Ndugu kang,., nilifanya kama ulivyoshauri ila kwenye BIOS nilikutanana "load optimal default, load custom default" load default value niliiona baada ya ya kubofya F1 4 help. tatizo naona bado,.,.,.
 
Ndugu kang,., nilifanya kama ulivyoshauri ila kwenye BIOS nilikutanana "load optimal default, load custom default" load default value niliiona baada ya ya kubofya F1 4 help. tatizo naona bado,.,.,.
chagua load optimal defaults
 
Angalia kweye program list kama Cyberink YouCam ipo, itumie hiyo.

Ama ingia Start na search for camera.

Je unatumia grade ipi ya OS?
 
Nimeandika camera,., lkn wameniletea maswala ya installation device,., OS stand 4 wat,. umenipoteza kidogo Gomer
 
Nimejaribu hiyo,., hakuna chochote kang. ila kuwasha hii camera si kama ulivyoeleza hapo awali,.,fn+f10.,.?mana nishajaribu batan zote bila mafanikio
 
Umejaribu Picasa? pia ukienda kwenye device manager katika drivers zote ziko installed sawa? hakuna kialma cha ulizo?
 
mkuu hapo nadhani shida ni software ya kuLaunch camera ya computer, kuna program nzuri kama Cyberlink YouCam v4 ambayo utaweza kutumia na camera yako,,mwanzoni hata mimi nilivyopata computer nilishindwa kabisa kuwasha camera lakini baada ya kupata cyberlink mambo sheGGa',,hii hapa torrent file ya Cyberlink YouCam v4 with registration keys,nadhani unajua kuDownload kupitia torrents' extract hiyo package utakuta torrent file ndani yake,, ningeiAttach sema ni kubwa around 163MB,,cheers'...
 
Attachments

  • [isoHunt] CyberLink_YouCam_Deluxe_4.0.913.12934_With_Serial.5981753.TPB.zip
    13.6 KB · Views: 29
Nimeandika camera,., lkn wameniletea maswala ya installation device,., OS stand 4 wat,. umenipoteza kidogo Gomer

Ni muhimu ukaanika wazi kama notebook bado iko katika uasilia wa lg.

Avoiid torrents at all costs.

Huja ainisha inatumia OS {= Operating System eg windows, linux,... version???} ip.

Kama ulisha isasambua tembelea tovuti hii

LG Product Support for X130-L.ASHWC1

Ama download Cyberink YouCam maalum kwa notebook yako.

http://www.lg.com/lgecs.downloadFil...&FILE_NAME=KRSWD000002611-b1-a1.zip&TC=DwnCmd

Kumbuka hii ni notebook siyo laptop achana na mazagazaga yasiyo na uasilia wa asili ya lg
 
Gomer,., OS yangu ni window 7. Hii yangu ni LG kabisa, nilichukuliwa south Africa,.,( wanabana sana vitu feki),. kwa sasa umeme ushazingua sidhani kama itamaliza download kwa hii charge,. ukirudi nitadownload na kuleta fidback,. asante kwa ushirikiano.
 
Brakelyn,., ni kweli tatizo nililo nalo ni jinsi ya launch hii camera,. ninayo bitcomet.,. Ila natumia NOTEBOOK. torrent hazita zingua kweli,.,
 
picasa bado sijajaribu,.,nimeenda kwenye device manager,.,everything is working properly,. na hamna ?,. nitajaribu picasa
 
Ni muhimu ukaanika wazi kama notebook bado iko katika uasilia wa lg.

Avoiid torrents at all costs.

Huja ainisha inatumia OS {= Operating System eg windows, linux,... version???} ip.

Kama ulisha isasambua tembelea tovuti hii

LG Product Support for X130-L.ASHWC1

Ama download Cyberink YouCam maalum kwa notebook yako.

http://www.lg.com/lgecs.downloadFil...&FILE_NAME=KRSWD000002611-b1-a1.zip&TC=DwnCmd

Kumbuka hii ni notebook siyo laptop achana na mazagazaga yasiyo na uasilia wa asili ya lg

Torrents zina shida gani mkuu, usiCrame elewa kwanza',, Applications huwa zinaangalia compatibility na Operating System na sio Brand ya computer', Drivers huwa maranyingi zinataka ziwe specific kwaajili ya brand fulani, hiyo YouCam ni compatible na Win7 ndio maana kuna YouCam compatible na Win XP, Vista, 7, Linux etc.. na itakubali kwenye computer yeyote inayokidhi hivyo vigezo ya OS,,huwezikuta YouCam eti specific kwaajili ya LG! ukisema 'Avoid Torrents' unaidhulumu nafsi yako mwenye, au labda programs zako zote unazotumia unazinunua,,, sasahvi kila kitu ni torrents kwa taarifa yako'...

Brakelyn,., ni kweli tatizo nililo nalo ni jinsi ya launch hii camera,. ninayo bitcomet.,. Ila natumia NOTEBOOK. torrent hazita zingua kweli,.,
mkuu mimi mwenyewe natumia CyberLink YouCam from torrents na haina tatizo lolote,,kwenye torrents unapata free cracked applications ambazo ungesema ununue ungeshalipia mamilioni ya pesa,,,

unledkkd.jpg
 
Ni muhimu ukaanika wazi kama notebook bado iko katika uasilia wa lg.

Avoiid torrents at all costs.

Huja ainisha inatumia OS {= Operating System eg windows, linux,... version???} ip.

Kama ulisha isasambua tembelea tovuti hii

LG Product Support for X130-L.ASHWC1

Ama download Cyberink YouCam maalum kwa notebook yako.

http://www.lg.com/lgecs.downloadFil...&FILE_NAME=KRSWD000002611-b1-a1.zip&TC=DwnCmd

Kumbuka hii ni notebook siyo laptop achana na mazagazaga yasiyo na uasilia wa asili ya lg

Kaka hapo sijakusoma vizuri, kwa nin unamwambia jamaa aepuke torrents kwa gharama zote?....fafanua kitaalam tafadhali!
 
hilo ziped file limezingua,.,

Tumia flashGet Download Manager unapopakua mafaili makubwa.

Inaelekea kuna mapungufu ya matumiizi ya computer.

Isome kwa makini lhiyo link ya mwanzo. Utaifahamu vyema notebook yako.
 
Back
Top Bottom