Mantissa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 876
- 166
Jaji Lewis amepata kigugumizi kujibu hoja aliyoulizwa na waandishi wa habari kuwa matokeo anayotangaza yana ukweli ndani yake, alionekana kutetemeka sana huku maneno yakimtoka kwa kukatika katika. Hii inaonesha ni jinsi gani matokeo yanayotangazwa si ya kweli.
jamani, sijui tutatoka lini katika hii shida kutawaliwa na mtu tusiyemtaka.
Slaa usikubali matokeo hadi kieleweke.
jamani, sijui tutatoka lini katika hii shida kutawaliwa na mtu tusiyemtaka.
Slaa usikubali matokeo hadi kieleweke.