Lewis makake anataka kuhadaa mawakala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lewis makake anataka kuhadaa mawakala?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWANA WA UFALME, Oct 19, 2010.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitendo cha jaji lewis makame jana kutangaza kwenye mkutano wa wadau wa uchaguzi kule arusha kuwa hata wakala asipotia saini form za uchaguzi hakutabadili lolote kinanitia shaka.

  Najiuliza kuna umuhimu gani wa tume kutoa form za kusaini kama hata usipotia saini haina shida.

  Hatari iliyopo ni kuwa hata wakileta kura za wizi na wakala akaziona akakataa kutia saini then haitakuwa na shida kumpitisha mgombea ambaye hakushinda,

  nachelea kusema kwamba huyu bwana naye ni kibaraka na anataka kuwaandaa mawakala wakubaliane na chochote maana hata wasipokubali haibadili kitu.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,604
  Trophy Points: 280
  We need the Almighty God's guidance on this fracas since some leaders now perceive themselves to be the ONe, the Most High
   
Loading...