Let's talk about savings: Ikitokea umeachishwa/umeacha kazi leo, una akiba ya kukutosha kwa siku ngapi?

Nashangaa una-like 12 tu na hii ya kwangu ya 13...ulichozungumza ndio ukweli wenyewe na wengi huwa wanatoboa alafu baadae wanakula kuku kwa mrija
mi kuna siku nilifanya utafiti,mwezi huo sikunununa stock yoyote ya chakula,ikawa kila siku nazama mfukoni kufanya manunuzi,aisee mbona niliijuta,ilikuwa inaweza fika hadi 20 per day hapo ndio nilikuja kugundua kweli msosi una tu cost
 
Msisahau kumshirikisha Mungu katika savings. Bila Mungu yanatokea majanga na kuchota savings zako zote. Wadau wote mmechangia sahihi kabisa. Mimi naamini katika investment lakini kumtegemea na kumuhusisha Mungu inasaidia zaidi
 
Umenena sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom