Bora umejisemea ukweli wako,sasa una mpango gani juu ya kusave?? Au ndio lifestyle yako mkuu???Mimi sinaga akiba nikipata natumia zote nikuosa natafuta kiume
Nitajitahidi sana siku za mbeleni kuhakikisha hilo la kusave pesa linafanyikaBora umejisemea ukweli wako,sasa una mpango gani juu ya kusave?? Au ndio lifestyle yako mkuu???
Safi sana mkuu, unatupa moyo na sie wengine kuona kua mambo yanawezekana kama hutojali kwa upande wa changamoto katika suala la saving ipi ilikupata na ulipigana vipi kuishinda mana kwangu changamoto ni kua na save lakini shida inapopiga hodi hua ni majanga inakomba hela yote naanza na moja sasa sijajua kua tatizo ni amount ninayo save ni ndogo (kulingana na kipato changu) mpaka saving yangu inashindwa kuhimili changamoto za kiuchumi mara zitokeapo au nini? (i don't know) Na je, mwenzangu ulikua unatumia njia gani ku save kwa kuweka bank (saving acc) au ulifungua fixed acc special for saving only? Au kuweka m-pawa kama njia ninayoitumia mimi?mimi nilianza kazi miaka miwili nyuma nikawa natumbua sana ,ila kama minne nyuma nikagunduka kwamba haya sio maisha ,
ni miezi mitano kama hivi nikaanza kusave wakuu huwezi amini mwiki mbili nyuma nikawa na kiasi cha milioni moja na saivi nimenunua kiwanja tayari na nafanya mpango ndani ya mwaka huu niwe na viwanja kama viwili hivi kisha mwakani niwe na viwanja viwili tena jumla vinne kwa uwezo wa mungu..
kisha hapo naanza kufikiria biashara ya kufanya ,
The best way ya kufanya savings,ikifika mda wa mavuno nunua chakula cha kutosha, nunua friji yako,ukiwa na mchele hada debe 5 kwa wenye familia,na gunia la mahindi na lita kumi ya mafuta ya alizeti huo mwaka unakupita poa kabisa,kila mwisho wa mwezi nenda na sh arobaini kanunue kauzu na maharage nyanya nk nk huwezi amini route za kwa mangi kila siku mara nipe una robo nk,
Lakini ukinunua mazaga yako mfano carot unayouziwa wewe gengeni sh 200 ukienda karume unapata sadolini kwa 5000 ukiweka kwenye friji si zinakupiga kick, sado ya nyanya 4000 nk,unaweza kuta kila siku pay inayotoka mfukoni haizidi hata 3000 kwa mboga.utashangaa bajeti yako kwa mwezi kwa chakula tuu hazidi 70000 out of lakini naa,sasa hapo huja save bado?
Hapo home machalii unawapiga na uji poa wa lishe,maisha haya bila kuwa na bajeti usawa wa uncle magu hutoboi,mi kuna mzee nilimshuhudia analipwa 150000 na alikuwa anaishi hivyo huwezi amini anasomesha watoto shule kali tuu, yeye anakwambia mi dukani huwa sikanyagi kununua chakula labda niamue mwenyewe