chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,186
- 797
Kwa mwezi tunaweka 50 ambayo inakopeshwa kwa riba ya 10% kwa miezi mitatu tupo watu 10 na kwa mwaka faisa inayopatika ni tunagawana like 200000 kwa kila mshirikiKwa mwaka una earn kias gan?
Kwa mwezi tunaweka 50 ambayo inakopeshwa kwa riba ya 10% kwa miezi mitatu tupo watu 10 na kwa mwaka faisa inayopatika ni tunagawana like 200000 kwa kila mshirikiKwa mwaka una earn kias gan?
mi kuna siku nilifanya utafiti,mwezi huo sikunununa stock yoyote ya chakula,ikawa kila siku nazama mfukoni kufanya manunuzi,aisee mbona niliijuta,ilikuwa inaweza fika hadi 20 per day hapo ndio nilikuja kugundua kweli msosi una tu costNashangaa una-like 12 tu na hii ya kwangu ya 13...ulichozungumza ndio ukweli wenyewe na wengi huwa wanatoboa alafu baadae wanakula kuku kwa mrija
Sio mbayaKwa mwezi tunaweka 50 ambayo inakopeshwa kwa riba ya 10% kwa miezi mitatu tupo watu 10 na kwa mwaka faisa inayopatika ni tunagawana like 200000 kwa kila mshiriki
Utaratibu mzuri huu...na wengi huwa wanafeli kupenda vya robo robomi kuna siku nilifanya utafiti,mwezi huo sikunununa stock yoyote ya chakula,ikawa kila siku nazama mfukoni kufanya manunuzi,aisee mbona niliijuta,ilikuwa inaweza fika hadi 20 per day hapo ndio nilikuja kugundua kweli msosi una tu cost
sana kaka,kama mpaka sas wanakwambia gunia la mahindi limeshuka karibia na 20000,lakini hapa mjini unga bado haujashuka hata chini ya buku,ni pesa nyingi inapoteaUtaratibu mzuri huu...na wengi huwa wanafeli kupenda vya robo robo
Umenena sawaMsisahau kumshirikisha Mungu katika savings. Bila Mungu yanatokea majanga na kuchota savings zako zote. Wadau wote mmechangia sahihi kabisa. Mimi naamini katika investment lakini kumtegemea na kumuhusisha Mungu inasaidia zaidi