Let's support John Mnyika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Let's support John Mnyika!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Henry Kilewo, Sep 25, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kama kuna mbunge kijana au mwanaharakati wa ukweli huwezi acha kumtaja john john mnyika, haya yamedhihirika kwenye mikutano yake ya kampeni kutokana na sera yake ya (AMUA) jinsi anavyo ishusha kwa wananchi wa UBUNGO ila yote kwa yote ni 24/09/2010 pale katikati ya saranga na kimara,

  Wananchi walitokea kumlaki kwa shangwe kubwa huku akiambatana na naibu katibu mkuu ZITTO, alipo ingia ZITTO jukwaani nderemo na vifijo zilitawala kisha akayasema yake alipo maliza wananchi wakawa wanamsubiri kamanda wa ukweli JJ MNYIKA ndipo alipo weka history kwa wananchi ,

  Kwa kauli yao wenyewe bila kushawishiwa walimtaka kamanda huyo asiombe kura kwani tayari yeye ni mbunge wao walicho muambia ni kwamba kamanda , tunaomba tukuchangia posho za mawakala then utueleze jinsi utakavyo linda kura zako kwa kushirikiana na sisi wanaubungo hata kwa mwezi mmoja tutashinikiza tume ikutangaze wewe, hapo kamanda akaamuru kamati ya fedha ipitishe vifaa vya kuchangisha fedha,

  Kisha yeye akaendelea kuelezea jinsi ya ulinzi wake wa kura ndipo kila mwana ubungo alipo ibuka na kaulizake kila mtu anasema lake nikasikia huyu jamaa ninoma, huyu jamaa anatisha, huyu jamaa hashikiki, huyu jamaa kajipanga, mwaka huu ushindi ni lazima hata ccm wahamishie makao makuu yao hapa ubungo wataisoma namba .... na mengine mengi kilcho changia zaidi kuibuka kwa maneno haya ni kauli za mnyika kusema ataingiza mawakala watatu kila kituo , wananchi wakauliza kivipi, akaanza kushusha timu zake kwanza nitakuwa namtandao wa mawakala wa chuo kikuu, pili nitakuwa na mawakala kutokana na rafiki zangu ,tatu nitakuwa na mawakala kutokana na vikao vyangu vya nyumba kwa nyumba, swali la msingi likaja wataingia aje kwenye vituo wakati sheria inaruhusu wakala mmoja ,

  kamanda akajibu jimbo la ubungo lina vyama vinavyo wania ubunge kumi na sita so kwa staili hii kunavyama viwili viliingia kwaajili ya kunilindia kura zangu na waligombea kwa makusudi hayo ya ulinzi wa kura zangu ili mawakala wawe wengi wasihongeke na watahakikisha matokeo haya badilishwi kwa gharama yeyote ila hata kwakujitole uhai wao ilimradi tuwakomboe wanaubungo na round hii hatutaki kusikia tumeibiwa ...................... CHADEMAAAAAAAA WATU WOTE VEMAAAAAA
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ndugu

  hebu angalia keyboard yako vizuri.........tumia "enter key" kutengeneza paragraph tafadhali
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Weka picha tafadhali. Bravo Mnyika
   
 4. M

  Mutu JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yah ubungo wanampa Mnyika tena maana kipindi kile na alishinda kwa keenja
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  anatisha amekuwa nguruwe ?
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,421
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mtu wa Pwani!...pwani yenyewe sijui Mombasa.....chakla!
   
 7. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Makamba na yule mama yenu aliyeshindwa kujibu hoja kwenye mdahalo watakuambia kama Mnyika ni nani
   
 8. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tuumpe Jembe Mnyika, Mizizi ya ufisadi ikakome.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nani aliyekwambia nguruwe anatisha..Kiti moto anatisha wakati mtu wa Pwani anapanga foleni pale kwa mamaChausiku kwaajili ya kitoweo?.......................JohnMnyika big-up sana, na kila lililo jema lije pande yako!
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  SISI wa Ubungo chaguo letu ni MNYIKA hatutaki Mafisadi
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Sep 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hongera Mnyika! Unaomba kura za nini wakati unazo tayari?
   
 12. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera kamanda mnyika. Mwaka huu ubunge wa ubungo ni wako.mungu akupiganie kwa kila hali
   
 13. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,450
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Kura Ubungo tutakupa Bw Myika lakini usitufanyie yale ya Keenja na Lamwai tumechoka kutumika kama ngazi ya kupandia daraja la kisiasa.Take it as friendly warning.
   
 14. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #14
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45


  Tufafanulie vizur cc wengine hatujui hiyo AMUA na sera zake ni vp?
   
 15. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli asije kuwa kituo cha nguruwe pale kigogo- Nguruwe wapo,tupo shusha,utuoni????
  Siasa mwaka huu ni balaa tupu.
   
 16. M

  Msharika JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Go mnyika Gooooo, You derseve
   
 17. C

  Calipso JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Napata wasi wasi na hili sula la mawakala,naona bado hajaleta hasa uvumbuzi wa kudhibiti tatizo la wizi la hawa mafisadi,bado sijapata muanga mzuri kuhusu hawa mawakala, kusema hakki mara nyingi sisi wapinzani wanaotuangusha ni hawa mawakala,na mifano mingi ninayo hususani kwa chama changu cha Cuf jinsi mawakala walivokuwa wakinunuliwa na mafisadi,yaani wana njia nyingi wanatumia...
  Ukiangalia kwa maelezo ya Mnyika anategemea pamoja na mawakala wa baadhi ya vyama vyengine,nakumbuka hilo lilitokea pale jimboni kwetu ktk uchaguzi ulopita tulitegemea mawakala wa baadhi ya vyama nao watakua upande wetu,siku ya siku,hatukuwaona wala yule wetu alijifanya mara kenda kula mara kaitwa yaani mtihani mtupu.
  Na kuhusu marafiki zake wa Chuo kikuu naona na hapo bado vile vile,sababu wao ni jst waangalizi tu,na hata wakisema itakuwa mda umepita,muhimu ni pale panapohisabiwa kura,kunatakiwa msimamo wa hali ya juu.. naona azidishe mikakati hasa,natumai hata Mtatiro tayari tumemueleza baadhi ya mbinu anazotakiwa azitumie ili hawa mafisadi wasifanye ufisadi wao.. kila la kheri Mnyika..
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Jamani mbona nguruwe hatishi, labda paka mweusi ukikutana nae usiku na yale macho yanang'aa.

  Bravo Mnyika, Ubungo ina matumaini nawe!
   
 19. b

  bojuka Senior Member

  #19
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bon
  they are few ppl of this kind who think about their ppl instead of their benefit songa Myika songa its your time, freedom has come.
   
 20. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #20
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mafisadi gani?!:confused2:
   
Loading...