Let's start the Fight

Joe Doe

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
484
917
If we die, next generation will fight our fight, and the next generation after them will continue to fight untill victory is on our side...

In 2005 B.W Mkapa said nchi hii tutaijenga sisi wenyewe. Na maendeleo ya nchi ni maendeleo yako wewe mwananchi, so kila mtu akikazana kutafuta maendeleo yake kwa umoja wetu ndipo tutakapopiga hatua.
Katika maendeleo kuna part ya serikali na part yetu wananchi. Sahau yote ambayo tunadhani serikali is responsible and they failed to fulfil their obligation, kumbuka pale pote ambapo na sisi we were responsible and fail to do the same. Tunapofocus kwenye maendeleo inabidi responsibility and accountability vitiliwe mkazo hasa na viongozi na waongozwao wawe tayari kutimiza majukumu timely according.
Japan watoto wakiwa wadogo shuleni huanza kufundishwa ubaya na hasara za ufisadi na rushwa. Sio mbaya na sisi tukichukua the same measures kwa faida yetu wote.
Kama tumeshindwa kujenga hii kitu kwenye fikra, akili na mioyo yetu basi tujenge ndani ya fikra, akili na mioyo ya watoto wetu na wote ambao ni wadogo. Hapo ndipo tutafanikiwa kutackle this tragedy issue as it may seem to be the very root of our problems.
Lets start the fight, next generation and generation after them will continue to fight our fights, Certainly victory will be ours.
 
Back
Top Bottom