Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Kitila nyie sie ndio huwa mnalalamika kwamba ni hatari kubinafsishaji hata wa kiwanja cha Ndege.Haya ya kufikirika yanatoka wapi,I said No and i will stand on my Point.Cha msingi ni kuangalia jinsi ya kubadili Mfumo wa serikali zetu,hili ndilo tatizo per say.Tatizo siyo wanasiasa,Ni hawa watendaji ambao wanapenda kujilimbikizia Mali na mambo ya kazi zao za Ku Copy na Kupaste,Tutawaumbua wakti wa Bajeti ya Mwaka huu kama hawatajiandaa vizuri kukabiliana na Watanzania Majasiri kama sisi.,
Yes, sawa kabisa ni sisi. Lakini sidhani kwamba hoja ya Rev Kishoka ni rahisi kiasi unachokionyesha hapa. I think hoja yake humo ni kubwa na pana zaidi ya kubinafisisha serikali. At the very minimum, as I understood it, Rev Kishoka is simply venting out his frustrations over our failing government and the apparent lack of a credible alternative. I also share his frustrations, don't you?